Jaji Ndika: Wananchi wengi Ngorongoro wana hofu ya kupoteza ardhi yao

Jaji Ndika: Wananchi wengi Ngorongoro wana hofu ya kupoteza ardhi yao

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mwenyekiti wa Tume ya kutathmini matumizi ya ardhi katika eneo la Ngorongoro mkoani Arusha, Jaji Dkt. Gerald Ndika, amesema baadhi ya wananchi katika maeneo ya hifadhi na mapori ya akiba wameeleza malalamiko yanayohusu matumizi ya ardhi na ushirikishwaji katika maamuzi.

Akizungumza Alhamisi, Machi 12, 2026 wakati wa kuwasilisha ripoti hiyo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan, Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, Ndika amesema, “Katika Hifadhi ya Ngorongoro malalamiko yanahusu uwiano na uendelevu wa matumizi mseto ya ardhi ndani ya hifadhi.”

 
Back
Top Bottom