mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Ni takribani miezi sasa Mahakama Kuu Sumbawanga haina Jaji hats mmoja kutokana Na Majaji waliokuwepo kumaliza muda wao.Hali hiyo imesababisha kesi kupigwa kalenda kila kukicha halo ambayo inafanya Mahakama kuwa Na mlundikano wa kesi badala ya kuzipunguza kama alivyotangaza Mh.Jaji Mkuu Bw.Chande Othman.Tunamwomba Jaji Mkuu apange majaji Mahakama Kuu ya Sumbawanga kwani Ndugu Na jamaa zetu wamekuwa San scheme we she's a mashauri yao.In vema Mahakama ikawa Na kasi ya utendaji wake .Kama kupanga Majaji kwenda kwenye vituo vyao inachukua miezi je kusikiliza kesi Na kutoa uamuzi si itachukuwa miaka ?