Jaji Mkuu Nigeria apatikana na hatia

Jaji Mkuu Nigeria apatikana na hatia

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,674
Reaction score
37,558
April 19, 2019
Lagos, Nigeria

Jaji Mkuu wa Nigeria, Jaji Walter Onnoghen apatikana na hatia ya kushindwa kutangaza mamilioni ya fedha za utajiri wake kama inavyotakiwa na masharti ya kuwa kiongozi wa juu wa umma. Tume huru ya Majaji ilipitia madai yaliyoanzishwa na wanaharakati waliochapisha mali hizo za kificho za jaji mkuu na Mh. Rais Muhammadu Buhari kuidhinisha kuundwa kwa Tume Huru kumchunguza Jaji Mkuu.

Kutokana na hatia hiyo, utajiri wa Jaji Mkuu alioficha ktk akaunti zake kadhaa zimetaifishwa na serikali ya Nigeria. Kushindwa kwa Jaji huyo Mkuu kutangaza mali zake zote imepelekea hisia za kuwepo mazingira ya rushwa na ufisadi kiasi cha kushindwa vigezo vya kukalia nafasi hiyo ya uJaji Mkuu.

Maamuzi hayo ya jopo la majaji wa tume huru ina maana Jaji Mkuu amefutwa kazi rasmi na kuzuiwa kushika nafasi yoyote katika utumishi wa umma kwa miaka 10. Katika utetezi wake katika maandishi aliyekuwa Jaji Mkuu Walter Onnoghen alidai kusahau kujaza utajiri wa baadhi ya mamilioni ya fedha ktk fomu ya Tume ya Maadili ya Viongozi. Tume Huru ya Majaji ilisema utetezi huo unatosha kufanya Jaji Mkuu kukosa sifa za kuendelea na wadhifa huu kwa mujibu wa kanuni na sheria za maadili ya viongozi wa umma.

CCT convicts, sacks Onnoghen as Chief Justice

The allegation of false and non-assets declaration against Justice Walter Onnoghen, which began like a bad dream in January, came to a dramatic end yesterday at the Code of Conduct Tribunal (CCT).Onnoghen watched helplessly as the tribunal headed by Mr. Danladi Umar, a non-judicial officer, found him guilty of the six-count charge brought against him by the Federal Government through the Code of Conduct Bureau (CCB).

The tribunal in a unanimous judgment also ordered the removal of Onnoghen as Chief Justice of Nigeria (CJN) and chairman, National Judicial Council (NJC). He was also barred from holding public office for 10 years for contravening the CCB laws in his Assets Declaration Form. Onnoghen will, in addition, forfeit to the Federal Government, various sums of money found in his five bank accounts with Standard Chartered Bank, having failed to declare them.
Source : https://m.guardian.ng/news/cct-convicts-sacks-onnoghen-as-chief-justice-njc-chairman/

Presidency reacts to CCT ruling on Onnoghen


Source : Channels Television
 
Earlier on, February 2019
Lawyer dissects the legality and morality behind Onnoghen's trial

 
Back
Top Bottom