Jaji Lubuva: Tuhuma za Mbowe hazina ukweli

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
1,716
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekanusha tuhuma kuwa baadhi ya wakurugenzi wa NEC wameachishwa kazi ghafla na kazi zao wamepewa watu ambao watakipendelea Chama cha Mapinduzi.

Mwenyekiti wa Tume Jaji Lubuva amesema tuhuma zilizoibuliwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe hazina ukweli wowote na zinapotosha Umma.

Mbowe alisema kuwa maafisa wa Usalama wa Taifa wamepewa nafasi za uongozi ndani ya NEC

Jaji Lubuva amesema kuwa kuna mabadiliko yalifanyika mwezi uliopita ambapo Rais Kikwete alimteua Julius Malaba kuwa Mkurugenzi mpya wa Uchaguzi kwa lengo la kuimarisha utendaji wa Tume na sio vinginevyo.

Jaji Lubuva ameomba baadhi ya viongozi wa kisiasa kuacha kuipotosha jamii

==========================

National Electoral Commission (NEC) has said the government has not dismissed some commission's directors and replaced them with people who will favour Chama Cha Mapinduzi (CCM) during elections.

NEC Chairperson, Damian Lubuva told local media on Sunday that allegations raised by CHADEMA chairperson, Freeman Mbowe that the government had shifted some NEC officials and replaced them with National security forces operatives are false and misleading to the public.
"There are changes made by the president last month where Director of Elections, Julius Malaba was appointed but the move was aimed at strengthening the commission and not favouring parties," he said.

At a rally on Saturday, Chadema chairperson, Freeman Mbowe raised allegations against the commission saying that the commission is now operated by officials from security forces who are working for CCM.

"I want to tell my brother Mbowe and Chadema supporters to stop misleading the public and interfering commission's functions," Lubuva said.
The NEC chair lamented that it is not the first time for Chadema to speak about rigging. He reassured them that NEC will ensure the election is free and fair.

Speaking about fake votes which Chadema claimed they would be distributed by NEC in all regions, Lubuva said there were no such votes.

"I always hear them talking about protecting their votes, they are just imagining... I am saying again with confidence that this will be a fair and fair election," he said.

Chanzo: PesaTimes
 
Ni nani anamuamini Mbowe tena? Anatafuta pa kutokea, gunia la kinyesi alilobeba haliuziki. Chapa kazi Lubuva,walikuambia huwezi kukamilisha uandikishaji, umekamilisha tena kwa idadi kubwa ambayo haijatokea toka tupate uhuru. Hawa jamaa ni wapiga dili na midomo yao ni machafu kama shimo la choo,usishangae na hayo hata matokeo ya uchaguzi watayakataa ili kujinusuru.
 
Hii misukule bado ipo hadi leo

Only tanzania
 
Mbowe alisema kuwa maafisa wa Usalama wa Taifa wamepewa nafasi za uongozi ndani ya NEC

Usalama wa taifa ni wajibu wa kila mtanzania na kila mzalendo.Kila mtanzania ni Afisa usalama wa Taifa.Kinachomsumbua Mbowe ni kuondolewa mchaga mwenzie Mkuu wa kitengo cha Tehama cha Nec, Dk Sisti Karia.Walikuwa na uhusiano gani na Mbowe wao ndio wanajuana.Alikuwa agenti wa hujuma Nec au la Sijui
 
JAMANI walisema mkuu wa majeshi yuko Italy Kikazi.. Hamna hata speech yake.. please ..! Watu wa Italy tujuzane jamani
 
ayaaah,,sorry mkuu TAMKO nilidhani namjibu ocampo...
 
Last edited by a moderator:
Usalama wa taifa ni wajibu wa kila mtanzania na kila mzalendo.Kila mtanzania ni Afisa usalama wa Taifa.Kinachomsumbua Mbowe ni kuondolewa mchaga mwenzie Mkuu wa kitengo cha Tehama cha Nec, Dk Sisti Karia.Walikuwa na uhusiano gani na Mbowe wao ndio wanajuana.Alikuwa agenti wa hujuma Nec au la Sijui

Mkuu weka taarifa sahihi,Suala la ulinzi na usalama wa nchi ni jukumu la kila mwananchi kwa mujibu wa Katiba ila SIO KILA MTANZANIA NI AFISA USALAMA WA TAIFA, usipotoshe jamii na kudharau kazi za watu! Suala la ukweli au uongo wa Mbowe Tume ndo yenye majibu na tayari watanzania tumepata taarifa ya Tume.Mungu Ibariki Tanzania.
 
JAMANI walisema mkuu wa majeshi yuko Italy Kikazi.. Hamna hata speech yake.. please ..! Watu wa Italy tujuzane jamani

Yupo kwa saaaaaaaana. Anaongea tu buongiorno (shikamoo ), come stai (hujambo ), sono qua con mio capo del militare (niko na mkuu wa majeshi ), alcune hanno detto bugie nostro capo che ere malato ma in fatti non è così come loro hanno detto. Ok Arrivederci(goodbye ).
 
Kwa madoido tu, wakati ukijua kiitaliano na shule za kata ni maji na mafuta
 
..nimeona kwenye gazeti mkurugenzi wa Tehama Nec Dr. Sisti Karia ameondolewa kwenye nafasi yake;sijui na hili atasema nini.
Hakuna kazi ngumu kama kumtumikia shetani,namhurumia sana huyu mzee masikini mwezi November unakuja mahakama ya ICC itakuhusu.
Badala utulie nyumbani ukae na wajukuu zako,watakua wanakutembelea gerezani.
#sosad!
 
Ni nani anamuamini Mbowe tena? Anatafuta pa kutokea, gunia la kinyesi alilobeba haliuziki. Chapa kazi Lubuva,walikuambia huwezi kukamilisha uandikishaji, umekamilisha tena kwa idadi kubwa ambayo haijatokea toka tupate uhuru. Hawa jamaa ni wapiga dili na midomo yao ni machafu kama shimo la choo,usishangae na hayo hata matokeo ya uchaguzi watayakataa ili kujinusuru.

Kakamilisha uandikishaji baada ya watu kuanza kupanga foleni saa 7 usiku, na kuongeza siku kadhaa.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekanusha tuhuma kuwa baadhi ya wakurugenzi wa NEC wameachishwa kazi ghafla na kazi zao wamepewa watu ambao watakipendelea Chama cha Mapinduzi.

Mwenyekiti wa Tume Jaji Lubuva amesema tuhuma zilizoibuliwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe hazina ukweli wowote na zinapotosha Umma.

Mbowe alisema kuwa maafisa wa Usalama wa Taifa wamepewa nafasi za uongozi ndani ya NEC

Jaji Lubuva amesema kuwa kuna mabadiliko yalifanyika mwezi uliopita ambapo Rais Kikwete alimteua Julius Malaba kuwa Mkurugenzi mpya wa Uchaguzi kwa lengo la kuimarisha utendaji wa Tume na sio vinginevyo.

Jaji Lubuva ameomba baadhi ya viongozi wa kisiasa kuacha kuipotosha jamii

==========================

National Electoral Commission (NEC) has said the government has not dismissed some commission’s directors and replaced them with people who will favour Chama Cha Mapinduzi (CCM) during elections.

NEC Chairperson, Damian Lubuva told local media on Sunday that allegations raised by CHADEMA chairperson, Freeman Mbowe that the government had shifted some NEC officials and replaced them with National security forces operatives are false and misleading to the public.
“There are changes made by the president last month where Director of Elections, Julius Malaba was appointed but the move was aimed at strengthening the commission and not favouring parties,” he said.

At a rally on Saturday, Chadema chairperson, Freeman Mbowe raised allegations against the commission saying that the commission is now operated by officials from security forces who are working for CCM.

“I want to tell my brother Mbowe and Chadema supporters to stop misleading the public and interfering commission’s functions,” Lubuva said.
The NEC chair lamented that it is not the first time for Chadema to speak about rigging. He reassured them that NEC will ensure the election is free and fair.

Speaking about fake votes which Chadema claimed they would be distributed by NEC in all regions, Lubuva said there were no such votes.

“I always hear them talking about protecting their votes, they are just imagining... I am saying again with confidence that this will be a fair and fair election,” he said.

Chanzo: PesaTimes

Julius Malaba kateuliwa kuwa jaji na Kailima Ramadhani Kombwe ndo kateuliwa kuwa mkurugenzi wa uchaguzi si kama mliv u orioti
 
Miaka mingi tumeona mengi kwa hiyo Mbowe kusema nihaki yake. Kwanini matusi Novemba siyo mbali ukweli mpaka sasa ni wazi Watanzania tutatoa maamzi kudanganywa hatuko tayari.Tunataka uchanguzi use free and fair for all taking part parties. That's all members otherwise Tanzanians will never have a government of their choice for five years weather ccm or chadema.
 
Kwa nini abadilishe viongoz dakika za lala salama ndio maana najionea huruma kuwa tunaenda kweny uchaguzi bila kuwa na tume huru kitu ambacho kitatunyima haki zetu maana ukweli ni kuwa tume imewekwa na serikali ya ccm na nilazima iwatumikie upinzani kwa hilo tuna shida na lilisha tokea kwa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa hiyo tujiandae kisaikolojia yaleyale kurudia.
 
kitendo cha rais kikwete ambaye ni mwenyekiti wa chama kimoja wapo kinachogombea katika uchaguzi huu kuteua mtu ndani ya NEC ndani ya kipindi hiki cha kampeni kinahalalisha kabisa madai ya mbowe. bado hoja inabaki palepale tume hii haiko huru.
 
Back
Top Bottom