Wana jukwaa.
Kuna watu wengi walipongeza kitendo cha tume ya uchaguzi kurudisha pesa iliyobaki wakati wa uchagu.
Cha ajabu jana mahakama ya arusha pamoja na mambo mengine wakati wa kutoa hukumu ya kesi ya mbunge wa longidi ilisema magari ya ya chadema yalihusika kubeba mabox ya kura kinyume na utaratibu wa uchaguzi. Swali likaja kichwani je ni tume iliyoruhusu mabox yabebwe na magari ya chadema.. Je, hawakuwa na usafiri wao hata wa kukodi kama pesa walikuwa nazo hadi chenji ikabaki??
Au viongozi/wafuasi wa chadema ndio walilazimisha kura zibebwe na magari yao..
Yote kwa yote mapungufu mengi ya ukosefu wa vifaa wakati wa uchaguzi yalionekana hata vitu vidogo vidogo kama taa na wino.
Katika hukumu ya jana nilitegemea adhabu kwa wasimamizi wa uchaguzi wakiwemo mahafisa wa uchaguzi na mkurugenzi kwa makosa waliyoyafanya ambayo yalikuwa ndani ya uwezo wao.