Jaji Kiongozi na Mwanasheria mkuu wa Serikali, kati yao nani mkubwa?

!
!
Nadhani jaji ni mkubwa. Kwa sababu kuna mihimili mitatu ambayo tunaambiwa iko sawa (swala la mmoja umejichimbia zaidi liachwe kwanza), Bunge Mahakama na Selikali. Jaji mkuu ni kiongozi wa Mahakama. Selikalini ambapo anapatikana mwamasheria mkuu, kiongozi ni Raisi. Kwa hiyo wanaolingana ni Raisi, Spika na Jaji mkuu.
Huo uliojichimbia zaidi ndio unaowatesa wenzake
 
Back
Top Bottom