Sabi Sanda
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 409
- 31
TuVUSHE KWA AMANI-- YA 1984 DODOMA YASIJIRUDIE.
ELEZA YOTE BILA HOFU
1. ANZIA NA SIKU WALIYONILAZA GETINI KWA MWALIMU PALE MSASANI.
2. DR SALIM AHMED SALIM AAPISHWE KABLA YA SAA SABA LEO--01/04/2011---
3. RWEKAZA MKANDALA AONYESHE BARUA YAKE YA KUOMBA UMAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM NA BARUA YA KUMWITA KWENYE USAILI.

Jana niliuliza humu lakini sikupata jibu labda leo nitapata jbu....................... Hivi vigezo gani vinatumika kuwa JF Premium member???

Maana Premium member kama huyu anamenichia maswali mengi kuliko majibu!!

unamuuliza nani? Kuna kitu kinaitwa ''Changia Mkono mtupu haulambwi'' ukifanya hivyo utapata jibu la swali lako.
Naomba ufafanuzi..sijaielewa hii thread!
The same mkubwa!!! Jamaa anamaanisha nini??
U-Premium wa huyu jamaa sio kwa kuchangia kamawewe unavyotaka tuamini, soma status yake..huyu ni kati ya wale member wa mwanzo kabisa kuingia humu wakati ule wa jambo forums....wengi kama sio wote waliojiunga na forum hii mwaka 2006 ni Premium members.Jana niliuliza humu lakini sikupata jibu labda leo nitapata jbu....................... Hivi vigezo gani vinatumika kuwa JF Premium member???
Maana Premium member kama huyu anamenichia maswali mengi kuliko majibu!!
duh hapa maswali ni mengi kabla ya kuchangia...
Kulitokea nini hapo 1984 ambacho we hutaki kijirudie?
Ilikuwaje hadi we ukalazwa getini??na kwa nini aanzie hapo uliolazwa wewe??
Wewe ni nani mpaka ukumbukwe na Warioba??
Dk Salim aapiswe kama nani??na kwanini aapishwe yy badala ya mtu mwingine??
Nimeona wewe ni mkongwe-Premium lakini hapa bado sijakusoma, hujatulia bali umekurupuka, najua kuna smthng good behind the story lakini kuileta hapa jamvini inabidi teeleweshwe tujue na tuchangie!!