Jaji - JAMES ROBERT jasiri aliyefuta amri ya Rais wa Marekani - Trump

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
612
358
The federal judge who blocked President Trump’s immigration order is described by former colleagues and acquaintances as a “mainstream” Republican who went from a career as a highly respected corporate lawyer in Seattle to an appointment by President George W. Bush to the federal bench.
The order on Friday by the judge, James Robart of Federal District Court in Seattle, reversed the president’s executive order restricting immigration from seven predominantly Muslim countries. It stirred the ire of Mr. Trump, who in a Twitter post on Saturday denigrated Judge Robart as a “so-called judge” and described the judge’s order as “ridiculous.”

Lawyers in Seattle describe Judge Robart, 69, as a disciplined “judge’s judge” who is unafraid of passing down unpopular rulings.

Michael D. McKay, a former United States attorney who is active in Republican politics in Washington State, called Judge Robart “a smart, thoughtful guy and very even-tempered.”
“The cream rises to the top,” Mr. McKay said.

Jenny A. Durkan, another former United States attorney, who served during the Obama administration, described Judge Robart as “a very strict federal judge who believes in the rule of law.”
“I think he truly believes in the independence of the judiciary, to the marrow of his bones,” she said.
She added that Judge Robart, who earned his law degree at Georgetown University, needed to be seen in the context of the moderate Republican traditions of the Pacific Northwest.

One of Judge Robart’s highest-profile cases in recent years has been his oversight of a federal decree that requires the Seattle Police Department to address allegations of excessive force and bias. During an oversight hearing last year, he cited the high number of deaths of African-Americans in officer-involved shootings. “Black lives matter,” the judge told the courtroom emphatically.

Mr. McKay and Ms. Durkan were the leaders of a bipartisan selection committee that vetted Mr. Robart and recommended to the Bush administration in 2003 that he be appointed. He was confirmed the next year in the Senate by a vote of 99 to 0.

The vetting committee, which includes an equal number of Republicans and Democrats, is peculiar to Washington State and was set up in the mid-1990s, when President Bill Clinton was in the White House and Congress was under Republican control.

The Washington senators at the time — Patty Murray, a Democrat, and Slade Gorton, a Republican — established the committee as a bipartisan compromise.

“We could essentially live with any of the names put forward,” Mr. Gorton, who retired from the Senate in 2001, said in an interview on Saturday. “Both Patty Murray and I felt that we were getting good judges. We weren’t getting judges who were personal enemies or who were personally obnoxious to us.”
The system has worked well for two decades, he said, but he added that he was “not sure” whether it would continue under Mr. Trump.

Mr. Robart was one of Seattle’s leading trial lawyers and the head of the law firm Lane Powell when he was selected to join the federal bench. While in private practice, he was admitted to the American College of Trial Lawyers, a prestigious, invitation-only group known for its rigorous vetting.
“He was a person who valued the opinions of his colleagues,” said Chuck Riley, the current head of Lane Powell, who worked with Judge Robart there for more than a decade. “He had an open door.”

During Senate confirmation proceedings, Mr. Robart was praised for his “exceptional qualifications” by Senator Orrin G. Hatch, Republican of Utah, then the chairman of the Senate Judiciary Committee.
“He brings a wealth of trial experience to the federal bench,” said Mr. Hatch, who added that Mr. Robart had helped represent “the disadvantaged” and had helped Southeast Asian refugees.
 
Jaji hana mamlaka ya kufuta Executive order ambayo inampatia rais wa US kufanya maamuzi ambayo yana maslai kwa taifa bila ya kupitia (CMP) Constitution mojor policy kwani unaweza kwenda jela miaka 15 kwa kufanya unauthorised operation without congressional approval

Pia Executive order trump aliyotumia kuzuia watu kutoka nchi 7 ni Presidential determination(uamuzi wa rais)
kwani kuna Executive order za aina tatu

1 Presidential determination(uamuzi wa rais)
2 Presidential memorandum(mkataba wa rais)
3 presidential notice( Ilani ya rais)

Hii Executive order inampa mamlaka rais ya kutengua uteuzi wa mtumishi yeyote wa serikali ambae ameteuliwa na rais au ambae yupo chini ya mamlaka ya serikali ikiwamo jaji kwani tayali kaimu mwanasheria mkuu tayali Executive order hii imekwenda na cheo chake lakini rais hana mamlaka ya kutengua wale waliochaguliwa na wananchi kama member of Congress na senate

So alichofanya jaji ni kuruhusu wale ambao walikuwa wanazuiwa Airport na tayali walikuwa na Visa US kabla Executive order aijasainiwa lakini wale ambao imewakuta tayali imesainiwa imekula kwao lakini bado serikali imekataa hata hvyo na wamekata rufaa
 
angalia vizuri kuna majaji wawili wameblock ila huyu wapili ameblock nakuipa serikali ya marekani mpaka jumatatu kuwasilisha hoja zake vinginevyo order itakuwa banned
 
Unajua kuna maelfu ya watu wamekwama ndani ya Airport za Marekani? lakini wamezuiwa kutoka ndani ya Airport kwa hii Executive order na pia kwenye hzo nchi saba kulikuwa tayali kuna watu wenye Visa tayali kwa kwenda au kuingia Marekani na walizipata hata kabla ya hii Executive order sasa na wao wameingizwa kwenye hii order ambapo ni makosa wao ilikuwa wapo nje ya hii Executive order

Sheria inasema Executive order inaanza kutumika ndani ya masaa 24 na yasizidi masaa 48 baada ya rais kusaini

Kinachowapa majaji kiburi ni sheria hii ya kuanza kutumika kwa EO hii kwamba inawahusu wale ambao wamepata visa baada ya masaa 24 baada ya Executive order kusainiwa na kutangazwa lakini wale wote waliopata Visa chini ya masaa 24 ya Executive order kutangazwa waingie US kwani sheria inawaruhusu kufanya hvyo na ndio kitu serikali imekataa
 
Trump alisaini lini amri hiyo ?
 
Trump alisaini lini amri hiyo ?
Dah nilitegemea naongea na mtu ambae anajua anaongea nini kumbe hata ujui ?

D.J .Trump ameshafanya maamuzi 7 kwa kutumia Executive order No 13765 kwa kipindi cha siku 16 ambazo yuko ofisini kama rais wa Marekani na kuna uwezekano akatumia Executive order sana kufanya maamuzi yake mengi na kumfanya kuwa ni rais wa Marekani mwenye maamuzi mengi ambayo hayakupitia kwenye (CMP) Constitution mojor policy
 
Sijawahi ona Jaji boya kama huyo.. Anashindana na Mr President !!! Anatakiwa aelewe kwasasa Rais wao ni Trump hata kama hamtaki.. Mademocrats bwana.. Shida tupu..
 
Umeingia kichwa kichwa mkuu .najua Trump amesaini amri ya rais nachotaka kufahamu tangu amesaini mpaka sasa umepita muda gani? Angalia usiingie kichwa kichwa tena kuna Kitu nataka nikuulize usije ukaumia.
 
Sijawahi ona Jaji boya kama huyo.. Anashindana na Mr President !!! Anatakiwa aelewe kwasasa Rais wao ni Trump hata kama hamtaki.. Mademocrats bwana.. Shida tupu..
Jaji hajashindana na Rais, anatumia sheria na katiba ya nchi. Trump as well ana mamlaka ya kisheria kuchukua baadhi ya hatua lakini haachiwi hivi hivi mahakama ina uwezo wa kupinga baadhi ya maamuzi ya rais. Wacha tuone mahakama ya rufaa bado imepinga amri ya rais na tusubiri kama White house watashinda katika hili.
 
angalia vizuri kuna majaji wawili wameblock ila huyu wapili ameblock nakuipa serikali ya marekani mpaka jumatatu kuwasilisha hoja zake vinginevyo order itakuwa banned
Tatizo la watu wanaendekeza sana ushabiki badala ya kutuliza vichwa, kushusha hisia na kuruhusu akili zao zifanye kazi.
Anzia kwenye vyombo vya habari, wameshindwa kabisa kuiwasilisha hii habari katika umbo na sura yake.
 
Unajua kuna maelfu ya watu wamekwama ndani ya Airport za Marekani? lakini wamezuiwa kutoka ndani ya Airport kwa hii Executive order na pia kwenye hzo nchi saba kulikuwa tayali kuna watu wenye Visa tayali kwa kwenda au kuingia Marekani na walizipata hata kabla ya hii Executive order sasa na wao wameingizwa kwenye hii order ambapo ni makosa wao ilikuwa wapo nje ya hii Executive order

Sheria inasema Executive order inaanza kutumika ndani ya masaa 24 na yasizidi masaa 48 baada ya rais kusaini

Kinachowapa majaji kiburi ni sheria hii ya kuanza kutumika kwa EO hii kwamba inawahusu wale ambao wamepata visa baada ya masaa 24 baada ya Executive order kusainiwa na kutangazwa lakini wale wote waliopata Visa chini ya masaa 24 ya Executive order kutangazwa waingie US kwani sheria inawaruhusu kufanya hvyo na ndio kitu serikali imekataa
Rufaa umeisikia? huko ndiko kuna utawala bora sio huku tamko tu hakuna mtu wa hata kuipinga, tamko linakuwa sheria!! Hahaaaa
 
Back
Top Bottom