Ndiyo hapa nilipokuwa nataka tuanzie,sasa kwa huu uteuanaji wa kiholela kweli ndiyo siku moja angekuja kuteuliwa kiongozi wa upinzani kuwa Rais? Hata kama kapata kura za kutosha,hawa watu bila maandamano hawatakuja kutoka madarakaniHuyu alikuwa Katibu wa Sheria wa Kikwete then Kikwete akamteua kuwa Jaji.
Samia akamteua kuwa Jaji wa Rufani na kumteua kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi.
Hawa wote ndo watu ambao tunatakiwa kuwanote vizuri na kuwashughulikia kisawasawa baada ya kumalizana na huyu samia na ccm yake
Ah i see the connection, wale wale collective ya corrupted individualsHuyu alikuwa Katibu wa Sheria wa Kikwete then Kikwete akamteua kuwa Jaji.