Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
mambo naona sasa yameiva , ninauhakika usahahidi utatolewa lakini watautia kapuni kama spika alivyo fanya kwa swala la Lema na Lisu
Hakuna kosa kubwa alilofanya Lema, kama kumkataa Jaji wa Mahakama Kuu, Aloyce Mujulizi.
Lema, na wakili wake Method Kimomogoro, sijui watasemaje Jaji mpya akitoa hukumu kuwa Lema, kashindwa kesi nadhani itakuwa hakuna sababu yoyote ya kulalamika..
Kesi hiyo haina muda mrefu itakuwa imekwisha bado miezi minne tu tutajua yetu macho na masikio.
Mkuu ritz,
Mheshimiwa Lema ana haki ya kumkataa Jaji lakini ni vyema taratibu na kanuni zikafuatwa.Notisi ya kumkataa Jaji Aloyce Mujulizi iliwasilishwa January 31,2012 kinyume cha sheria.Pamoja na notisi ya kumkataa Jaji Aloyce kutokidhi matakwa ya kisheria Jaji kaamua kujitoa.
Mheshimiwa Lema atatakiwa ndani ya siku tano kuwasilisha vielelezo vya tuhuma jinsi kampuni ya IMMA ilivyohusika na wizi wa fedha za EPA.Hii ni hatua nzuri sana kwasababu Rais atatakiwa kuunda tume kuchunguza sakata hilo na pengine kuangalia kama Jaji Aloyce anastahili kuendelea na wadhifa wake.Iwapo Mheshimiwa Lema atashindwa kuwasilisha ushahidi wake nadhani atakuwa amejiweka katika wakati mgumu na pengine sababu za kumkataa Jaji Aloyce zitachukuliwa ni mbinu a kuchelewesha kesi isimalizike ndani ya wakati.
Mkuu Ngongo,
Kwa wanaojua sheria ,Hatua ya Lema ni Kutisha sana,ni kama amejipiga kisu mwenyewe.
Tatizo litakua kuthibitisha hayo madai yake pasi na shaka yoyote.
Kwa mujibu wa sheria,kampuni yoyote lazima ipite kwa mwansheria kabla ya kusajiliwa,na sheria za biashara ya kimataifa zinakwenda mbali zaidi kwa kuruhusu kampuni ya kisheria kusimamia michakato yote ya kibiashara katika nchi husika.
Kwamba deep green imesimamiwa na IMMA katika kuianzisha hakuna ubishi,je kuna ushahidi kua pesa ilikwapuliwa imekwenda mfukoni mwa wakurugenzi wa IMMA?
Kutokana na hadhi na heshima ya jaji(ikumbukwe kua jamaa kabobea katika sheria) ni dhahiri mh.Lema anapaswa kuleta ushahidi mzito usio na shaka,vinginevyo anaweza kujikuta analipa mabilioni kama fidia ya kuichafua kampuni na jaji
Hakuna kosa kubwa alilofanya Lema, kama kumkataa Jaji wa Mahakama Kuu, Aloyce Mujulizi.
Lema, na wakili wake Method Kimomogoro, sijui watasemaje Jaji mpya akitoa hukumu kuwa Lema, kashindwa kesi nadhani itakuwa hakuna sababu yoyote ya kulalamika..
Kesi hiyo haina muda mrefu itakuwa imekwisha bado miezi minne tu tutajua yetu macho na masikio.
Jamani haya mambo mengine muwe mnapitia pitia kurasa za zamani kabla ya ku-conclude suala ambalo lilijadiliwa kwa kina na vielelezo humu humu JF. Inashangaza some 4 to 5 yrs later eti sasa inazungumzwa hadhi na heshima ya jaji!!!!!!!
Je ushahidi ukitolewa Mujulizi atakuwa tayari kuuweka hadharani na kukiri kuwa kweli alihusika kuiba jasho la watanzania?
ushahidi gani wewe ?? vyeo walivyopewa wahusika wote wa IMMA na seikali ni ushahidi tosha wa kufunika maovu wkishapewa ushaidi them what's next?Mkuu Ngongo,