Mengi yatasemwa....lakini mwisho wa siku CCM wamempata mgombea wao.Kubwa lililobaki ni kwa wananchi kuamua wanamtaka nani na wanataka nini.....maendeleo..maisha bora na mazuri...haki...usawa... elimu...matibabu...usalama....amani na upendo.2015 zamu yako.