hatuhitaji vijiushauri vyenu kila mchezaji ana umuhimu wake kwenye nafasi yake nyinyi mpira hamjui nawaombeni zishauri timu nyingine sio yanga au simba
mimi nawakubali watu wakikosoa mchezaji nao wasikiliza ni kibadeni mwaisabula aly mayai na yupo mmoja mzee hivi alikuwa tbc wakati wa word cup hao wakielezea mpira ni afadhari wanauju mpira sio vikaragosi wengine