Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,167
- 162,602
Aliekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini,David Jairo, achukua form kugombea ubunge jimbo la Iramba Jimbo linaloshikiliwa na Mwigulu Nchemba kwa sasa.
Chanzo:TanzaniaDaima
Mmmh misimamo yake inaweza kuwa inaanza kumgharimu. . . . .
Aliekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini,David Jairo, achukua form kugombea ubunge jimbo la Iramba Jimbo linaloshikiliwa na Mwigulu Nchemba kwa sasa.
Chanzo:TanzaniaDaima
Nashukuru, uko na haki ya hayo uliyoyasema ila ukimuangalia utaona kuna kipindi husema yale yasiyopendwa na wenyewe. . . . .Kama kwa usanii au huwa anamaanisha sina uhakika juu ya hilo ila tujipe mudaOLESAIDIMU wewe ni moja ya wanajamii wa JF wenye mawazo na michango ninayoikubali kwa kiasi kikubwa. Lakini hili la kusema eti Mwingulu anaponzwa na misimamo yake sikubaliani nalo. Mwingulu hana msimamo wa aina yoyote ambao ni positive kwa nchi yetu. Ni msanii asiyetumia maarifa na aliyeona uchaguzi unakaribia akajifanya kubadilika na kuwa upande wa wananchi. Na kama huyu Jairo amechukua fomu na akiweza kumwangusha Mwingulu basi nitafurahi sana (sio kwa sababu ni mtu mzuri) bali nataka Mwingulu aone makosa ya kutumika kuzima ukweli kuhusu uchafu uliokuwa unafanywa na utawala.
Nashukuru, uko na haki ya hayo uliyoyasema ila ukimuangalia utaona kuna kipindi husema yale yasiyopendwa na wenyewe. . . . .Kama kwa usanii au huwa anamaanisha sina uhakika juu ya hilo ila tujipe muda
kama ccm walivyojisahau na chama kikaangukia kwa wabeba mabegi ya pesa (722m) inawezekana na kitengo kakaangukia mikononi mwa watu ambao sio kinyume na malengo.Inaelekea wazee wa vitengo huwa wanaota sana ubunge! Kuna hatari Safari ya Migulu huko mbeleni ina mashaka
ukiona watu wa kitengo wanatishia nyau ujuwe ndo kumekwisha hivyo!
Mwambieni mwigulu afute mabango yote aliyo yaandika nchi nzima.
Lazima Mwigulu Akatwe...CCM si unawajua? Fisadi/Mwizi Kwanza.
Mwigulu Nchemba ni raisi wa mijusi ya mlima senkenke. mtela Mwampamba kafia wapi?
Inaelekea wazee wa vitengo huwa wanaota sana ubunge! Kuna hatari Safari ya Migulu huko mbeleni ina mashaka
ukiona watu wa kitengo wanatishia nyau ujuwe ndo kumekwisha hivyo!
OLESAIDIMU wewe ni moja ya wanajamii wa JF wenye mawazo na michango ninayoikubali kwa kiasi kikubwa. Lakini hili la kusema eti Mwingulu anaponzwa na misimamo yake sikubaliani nalo. Mwingulu hana msimamo wa aina yoyote ambao ni positive kwa nchi yetu. Ni msanii asiyetumia maarifa na aliyeona uchaguzi unakaribia akajifanya kubadilika na kuwa upande wa wananchi. Na kama huyu Jairo amechukua fomu na akiweza kumwangusha Mwingulu basi nitafurahi sana (sio kwa sababu ni mtu mzuri) bali nataka Mwingulu aone makosa ya kutumika kuzima ukweli kuhusu uchafu uliokuwa unafanywa na utawala.
Aliekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini,David Jairo, achukua form kugombea ubunge jimbo la Iramba Jimbo linaloshikiliwa na Mwigulu Nchemba kwa sasa.
Chanzo:TanzaniaDaima