JailBreak PlayStation 3

JailBreak PlayStation 3

Cesc Henry Sn

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
217
Reaction score
125
Habari zenu wadau, poleni na shughuli za kila siku za kulisukuma gurudumu linalomzonga kila mmoja (maisha)
Issue yangu kubwa ni kwa yeyote anaejua au kufahamu namna au jinsi ya kuJailBreak Playstation 3 ili iweze kucheza CRACKED games ambazo ziko kwenye mfumo wa file. Ambapo mtumiaji unakuwa na uwezo wa kuDownload games tofauti tofauti na kusave kwenye GAME yako (PlayStation)

Ili kuondokana na gharama kubwa ya kununua CDs na kazi kubwa ya k​uzitunza...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom