jailbreak phone!

BJ.Sahani

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
220
Reaction score
33
habar,naombeni kujua nini maana ya kujailbreak device hasa simu na nini faida yake? plzzzzz
 
The only device you can jail break ni i OS..
ADROID wanaita rooting

Napita..
 
jaman wanajf msaada tafadhal

Jailbreak ni kitendo cha kuiformat simu,pc tablet au smart tv kutoka ktk mfumo original uliokuja nao na kuweka mfumo mpya ambao ni fake.

Sasa ni kwanini mtu anaamua ku JAILBREAK device yake?
Mfano ktk bidhaa za kampuni ya APPLE (iphone, ipod touch na ipad) huwezi kuinstall program yoyote katika vifaa hivi vya apple ambayo haujaidownload kutoka itune store.
Na pia huwezi kudownload program bila kuwa na Apple ID.

Ila ukiwa umeijailbreak utaweza kuinstall application mbalimbali bila tabu yoyote.

Sababu kubwa ya wajanja kujailbreak their devices ni kuweza kupata application mbalimbali za kuwawezesha kuhack.
Mfano ukiwa na iphone jailbreaken, utapata program ya kuhack wi-fi password ambayo itakuwezesha kupata internet mahali popote penye wireless internet hata kama zinahitaji password zitahackiwa automatically.

Vilevile kwa kutumia bluetooth utaweza kupata internet kutoka kwenye pc yako kwenda kwenye phone au ipod ila iwe imejailbreak.


Nadhani umeelewa.
 

ahsante sana MR. ABLE nimekupata vizuri sana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ