Kim Jon Un
Member
- Oct 11, 2017
- 39
- 36
Ni hatari sana mzee babaLiliwaweka wana wa chama chake kwenye payrol ya jiji la Paris
Ni hatari sana mzee babaLiliwaweka wana wa chama chake kwenye payrol ya jiji la Paris
Huyu alikataa ujinga wa George W Bush na shogae Tony Blair. Huyu alikuwa the best president ever. Alikataa Iraq isiwavamiwe.
Pia aliruhusu yule kiongozi wa Palestina akatibiwa Paris,Yasin Arafat alifariki akitibiwa Paris.
Daah alianza Robert Mugabe -Zimbabwe, akafuata Zine Al Abidine Ben Ali wa Tunisia leo Jaques Chirac -Ufaransa aisee ndani ya mwezi tu mmh Israel ameamua sijui nani atafuata baada ya hapo turudi kwa Mungu kwa kweli
Tanga lamugabe lina anuliwaje mkuu wakat hata kuzikwa bado ?!... naona msimu wa viongozi huu. Kaanza Robert Mugabe (95), then Zine al-Abidine Ben Ali (83), then Jacques Chirac (86) ndani ya muda mfupi tu hata tanga la Mugabe halijaanuliwa! Kaupepo sio kazuri.
Huyu alikuwa against na vita vya Iraq,alipinga mwanzo mwisho na alikuwa haivi na Bush wala Blair
Mimi pia nilikua sijui kumbe Kuna tofauti Kati ya Israel na israilNikurekebishe kamanda..sio israel, ni israaiil...ukisema israel utakuwa umeitaja nchi ya waizraeli.
Mimi pia nilikua sijui kumbe Kuna tofauti Kati ya Israel na israil
Asante mkuu
. Ahsante,majina yao yanayaka kufanana kabisaNikurekebishe kamanda..sio israel, ni israaiil...ukisema israel utakuwa umeitaja nchi ya waizraeli.
. Ahsante,majina yao yanayaka kufanana kabisa
Yeah, yanafanana kidogo 😀😀
Tena kapige walioko madarakani kasoro pale Nairobi kapapite mbaliNapenda kasogesogee East Africa