Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,498
- 32,211
Hata kama ana ushawishi, waafrika sijui uwa ni kutokuwa na elimu sijui shida ni nini wale watu ambao wananyonywa ndio uwa wanaongoza kuhudhuria na kuwa miskule wanasiasa. Yani mtu yuko tayari atoe maisha yake afe kwa kumpigania mwanasiasa ambae hata hana shida kama za ukoo wake.Zuma bado ana ushawishi mkubwa sana mpka sasa S.Africa kuliko hata Cyril Ramaphosa.Msimamo wake huu alioutoa kupitia foundation yake you umepokelewa na raia kama vile ndio tamko la serikali ya S.Africa.
Si unakumbuka walipomkamata hadi watu wakapigana na polisi wakafa.
Afrika mwisho wezi uwa wanakuwa mashujaa. Mfano Charles Taylor kuna uchaguzi alikuwa ana influence kubwa huku akiwa gerezani.
Angalia hata hapa watu ambao waliwahi kutuhumiwa kwa ufisadi mwisho uwa wanakuwa mashujaa