Jacky Mengi aka Jezebel's Daughter

...Lakini pale Kartimjee alitamka 'uuuwii my love.....! uso mkavuu
 
Umechambua vizuri mkuu
 
I second you my dear! Watanzania hebu tumuache huyu binti aishi maisha yake jamanii! Hivi ni nani ambaye hajui kwamba Mzee wetu Mengi was almost 80's? Ni nani hakumuona mzee jinsi alivyokuwa amechoka kwenye msiba wa Ruge?? Honestly Jacky hakuna na shida ya kumuua yule mzee maana hakuwa na uwezekano wa kumaliza huu mwaka! Watu waache wivu bwana mwenzao ndo keshamaliza hahahah
 


Upo outdated sana!

Sasa kama alionyesha dalili za kudhoofika, ndiyo uondoe possibility ya poisoning??

Unaishi karne ya ngapi?
 
Yaani ndio kusema sisi wenye mvi kwenye kidevu na miaka thelathini na kitu ndio tumekwishakubali kuondoka, siyo?
 
Ingawa bimdada ni tajiri, lakini atapata taabu sana kujisafisha na kujipambanua kwamba hahusiki kwa namna yoyote ile katika kifo cha Mzee. Tusije shangaa bimdada akaamua kujiondoa kwenye mirathi ili kuuthibishia umma kwamba hana haja na mali za Mzee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…