Jackpot

mwenye shamba

JF-Expert Member
May 31, 2015
972
1,669
Habari zenu Wana jukwaa la michezo!

Mimi nataka kufahamu kutoka kwa magwiji wa betting,ninyi mnatumia mbinu gani kushinda hizi jackpot za sport pesa,mkeka bet,m bet na zinginezo?

Maana wenzenu huku tunajitanya kuchambua mechi mpaka tunalipia pesa kwenye makampuni ya kuchambua mechi lakini holaaa.sasa hebu tushirikishaneni maujuzi ili tumfirisi huyu kanjibai.
 
Hakuna mjuzi wa hayo mambo wala usidanganyike, bahati ya mtu inapofika anapatia.
 
Hakuna mwenye uwezo wa kubashiri outcome ya event yoyote kwa uhakika 100%. Hivyo ni bahati tu wewe endelea kubet kuna siku utashinda ila sahau kuhusu kumfilisi kanjbai.
 
Usiwe na pupa wala tamaa kwenye kubet.nenda mdogo mdogo achana na vishawishi vya watu,makampuni husika ama picha za mtu alieshinda beting utakwisha mwanangu.
 
Back
Top Bottom