Wale jamaa wa kule kwingine NOMA tupu
Yaani nasoma maoni ni noma ile kichizi
lakini ndio ma Z LIST CELEBRITIES WETU hawa waliobakia, maan akian Iddi wanaanza kutokwa na upara...on a flipside i hope huyu dogo ni captain of his own ship and i care less kama kaiba,kachota au sijui vipi ...sasa katika hawa ma Z-LIST celebrities wetu kwa nini wasijitutumue wakanunua walau YATCH? maana inabidi iwepo tofauti kati ya akina Freeman na ma VOGUE yao na wengine wenye YATCHS yaani badala ya kuuumizana vichwa na kunuka jasho bistro kila ijumaa basi nyie ahhhh haooooo mnaingizana Maputo au Nampula for a weekend..kwanza hakuna wanga wanaokujua wakakutoa kwenye utamu,pili inawapa kazi ya ziada Interpol na tatu nadhani its safer kuzungumza mambo ya kifisadi baharini kuliko nchi kavu
Hiii ndio maana ya DONT HATE THE PLAYER, HATE THE GAME
Game Theory;
Kwanza huyu sio Jabir Kigoda. mbona mshikaji threads zako zimejaa majungu?
Ulianza na ya Rama Mwikalo majungu matupu
Ukaja na majungu dhidi ya Mwanakijiji - wivu mtupu
Ukaja na ya kuishutumu jamii forums ni ya chadema - majungu matupu
Ulikuwa na ya kushutumu wenzako wa TZUK - majungu matupu.
Lini utaacha majungu na kuwa kama sisi?
Omar Kigoda hafanyi kazi BOT.
Jabir Kigoda hafanyi kazi BOT.
Yaani kila unachoandika ni UONGO MTUPU.
Angalia mwishoni ukiandika tutakuwa tunakuita ORIJINO KOMEDI.
Habari ndio hiyo.
FP
Lakini si huyu alieamua kutoa kavukavu alipenda. Ujinga wao wote. Wacha walee kachanga kao maana itawasaidia kuacha utoto na kuwa aged people,,,,, labdaHuyu dogo kamtia mimba binti na wanalea malaika sio kukimkmbia, huyo mtoto hap;o juu ndiye jabir kila sehemu yupo lakini huwezi ona, anajifanya mpole mtaratibu na mtanashati lakini ni mafia wa kupindukia kama hamjui habari zake,, binti ni MIRIAM MTOTO WA KIZITO MMOJA NAE ANASHAHA NA KUHAHA BILA YA HUYO JAMAA, WANAENDANA. KIJANA NI KIWEMBE LAKINI HUWEZI MFUMA NA MWANAMKE ANACHEKA KAMA MJINGA LAKINI OGOPA .
Kumbe Gt anaishi UK? nilikuwa sifahamu! Sasa mambo ya Bongo anayafahamu vipi? Na huu umbeya anafahamu vipi au anatumwa?Narudia kwa mara ya mwisho. Maana hapa kama huna data kaa kimya. Hapa sio ze utamu au michuzi blog.
Huyo jamaa hapo juu kwenye picha sio JABIR KIGODA. Ninamjua jina lakini sio JABIR Kigoda.
Sasa hizo kashfa mnazomwaga inaelekea mnamwaga kwa umbea au kutojua mnachokisema.
MOD: Nina uhakika na nisemalo. Naomba hii ipelekwe kwenye Udaku, au kama mna maswali kwanini nasema iende huko niulizeni kwenye PM.
GT ningeshauri utafute ajira, maana bila kazi mjini hapa ni taabu sana na mwishoni utaandika hata usivyovielewa. BONGO hii sio UK.
jamani waungwana kama kuna mwenye namba ya simu ya Latoya Lyakurwa anisaidie nina habari zake muhimu, asante