Lihove2017
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 423
- 560
Moja kwa moja kwenye issue
Nimefuatilia kwa muda kiasi nimegundua kwamba Jerry Murro ni kijana smart uchwara hivi.ametafuta kona ya kupatia umaarufu akagundua ikiwa ataamzisha makelele na baadhi ya watu wenye publicity kubwa atapaa kwa haraka sana.amefanya uchaguzi sahihi wa kupitia chadema ili apate publicity.ila kitu alichowaweza chadema ni kuwaingiza kwenye mtego nao wakanasa haraka haraka.hawajajua kwamba nia yake ni kutaka chadema imsaidie kumnadi kwa Kwa Mkuu wa nchi.ilivyo ni kwamba sasa hivi ukikosana ukihitalifiana na chadema unaonekana mzalendo, sijajua ni kwa nini, unaonekana wewe ni mwenzao.unaweza kufikiriwa chochote kwenye ccm.hasa kipindi hiki
Ushauri ni kwamba Chadema angalie mbele .watu kama Muro wapoteza focus yenu kwa maslahi yao binafsi.huo ulikuwa ni mtego ambao nasikitika kuwambia mmeshanasa nusu.jamaa amescore point flan hapo.
Kwani ametumia ile style ya kuudhi ili mtu a-loose temper akose cobtrol.yaani ana-waprovoke.ni kama mcheza karata anaanza na karata ndogo ndogo ili baadaye awapige na dume.
Angalieni hilo sakata la kadiwani wala rushwa tayari linaanza kutaka kufifishwa