OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,073
- 114,572
TAARIFA MPYA KUTOKA MKURANGA/RUFIJI/KIBITI.
Wenyeviti wetu wawili mitaa (CUF), Ndg. Kazi Mtoteke wa Mtaa wa Ikwiriri Kati na Ndg. Jumanne Kilumike wa Mtaa wa Ikwiriri (wilayani Rufiji) wametekwa na "watu wasiojulikana" (vyombo vya Dola) lakini hata OCD na RPC wanatangaza eti wametekwa na watu wasiojulikana.
Tofauti na wale wauaji wa Polisi wetu 8 na viongozi 30 wa CCM, Watekaji wa sasa wanakuja na magari hadi jirani na nyumba ya mtekwaji (Kiongozi wa CUF), kisha wanaingia ny...umbani kwake wakiwa wamejifunika nyuso na wakishampata kiongozi waliyekuwa wanamsaka wanaondoka naye.
Hii ni oparesheni ya vyombo vya Dola na mimi on the truth I will speak it as it is maana unaishi kwenye nchi ambayo uongo na unafiki are the orders of the day. Wakishaondoka eneo la mji wa mtekwaji wanaingia kwenye gari walilokuja nalo na kuondoka.
Siku 6 zilizopita chama chetu kilianza kuripoti masuala ya Rufiji/Kibiti/Mkuranga na wapo watu walianza kutukejeli bila sababu. Sisi kila tunachozungumza ndiyo hali halisi. Kinachoendelea kwenye wilaya hizo hivi sasa siyo wale wauaji walioleta madhara makubwa, kwa sasa matukio ya utekwaji wa viongozi na uumizaji wa raia yanafanywa na vyombo vya dola, na tuna ushahidi huo. Hivi sasa idadi ya viongozi 12 wa CUF hawajulikani walipo, wanafuatwa majumbani na kutekwa "na watu wasiojulikana".
On my opinion, kazi ya kusaka wale wauaji wa Polisi wetu na viongozi 30 wa CCM imekwama au imeshindikana, na sasa vyombo vya dola vinatafuta JUSTIFICATION ili kum-please RAIS na hata kumdanganya IGP mpya. Kama wauaji HALISI wameshatoroka, hawapo, au wamekimbia hebu tuelezwe ukweli, tusifichane. Haiwezekani sasa kilichobakia ati ni kuwasaka viongozi wa CUF wa matawi, wa kata, wa wilaya, wenyeviti wa kiserikali wanaotokana na CUF kwenye vitongoji, vijiji, mitaa na madiwani wa CUF.
Kwamba ati WAUAJI wa viongozi zaidi ya 30 wa CCM wawe ni viongozi wa CUF! Ajabu kweli kwel! Kwamba yale majambazi/Janjaweed/Mungiki/Intarahamwe (call them any name), yaliyovamia na kuua polisi wetu wasio na hatia na kupora SMG (Bunduki) zote ati hayo mavamizi ni viongozi wa CUF. Na kwa hiyo eti oparesheni ya sasa ya kuyasaka MAUAJI imegeuka kuwa kamata kamata ya viongozi wa CUF. I am so sad for my country and I am speaking it loudly kuwa RPC wa Pwani na timu zake za Opareshenj wanamdanganya IGP, wanamdanganya RAIS na wanafanya haya kui-please CCM ambayo imeondokewa na zaidi ya viongozi 30 wasio na hatia.
The truth must be spoken as it is!
Mtatiro J