Makosa makubwa aliyoyafanya JKN alitengeneza MFUMO unaomtegemea yeye (RAIS), badala ya yeye (RAIS) kutegemea MFUMO. JKN mwenywe aliwahi kukiri kwamba KATIBA inapatia madaraka makubwa ya kumfanya yeye awe DIKTETA.
Haya makosa ndiyo yanayotutafuna hadi leo, uongozi kutegemea KUDRA ya mtu. Na Sio uongozi kutegemea KATIBA imara.
Hapo ndipo JKN alipo bugi STEP, akifikiri watakaofuata watakuwa kama yeye kumbe ni MASHETANI katika majoho ya MALAIKA. A case study BWM.