Moja ya album kali kabisa za Hip Hop kwa mwaka 2018 mpaka sasa. Production on point and carefully structured. Cole na flow za hatari ndani ya mzigo huu matata. Ngoma Kama 'Once an addict' 'ATM' na 1985 zinafanya mzigo huu usimame ipasavyo.
He crucified all the new wave rappers on 1985. Nadhani ukiitoa album ya Nipsey Hussle "Victory Lap" iliyotoka mapema mwaka huu basi huu mzigo ni wapili kwa ubora mpaka sasa. Cole World.