Izi akili au matope?

Izi akili au matope?

Kweli huyu mpemba matope,ni wapi mungano ukivunjika kunakuw uadui?km wachna wanafanyakaz tz itakuwa mpemba kisa mungano?
 
Wazanzibar huwa wananishangaza pale wanapotukana asili yao...

Sijui hawajui ya kwamba wengi wao ni Watanganyika ambao enzi za ukoloni walipelekwa Visiwani kama manamba kwenye mashamba ya karafuu.

Pia wengine waliuzwa huko kama watumwa waliotolewa sehemu za bara ya Afrika Mashariki.

Msihadaike kwa kuwa mwaongea kama mmebana pua au kuwa na nywele laini kama zimelambwa na ulimi wa ng'ombe mkajiona tayari ninyi ni watu wa asili nyingine.

Hayo ni matokeo ya mtu mweusi(mwanamke) kuzaa na waarabu wa wakati huo tena wengine walifikia walibakwa. Baada ya mchanganyiko huu wa vizazi kama vinne au vitano hivi ndio leo mmetokea ninyi wenye vichwa bapa kama jiwe la kusagia ulezi na sauti nyororo kama waimba opera.

hahahaha u made my day...
 
Back
Top Bottom