Iwapi report ya kuchunguza sababu za migomo ya wanafunzi wa vyuo vikuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iwapi report ya kuchunguza sababu za migomo ya wanafunzi wa vyuo vikuu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rich Dad, Jun 20, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamani mwenye kujua kama ile tume iliyoundwa na Rais wa JMT tayari imeshatoa report yao kuhusu vyanzo vya migomo ya wanafunzi wa elimu ya juu. Niliona wametengeneza website ya kukusanyia maoni, ambayo hata mimi nilitoa mchango wangu. Lakini mpaka sasa sijui walipewa muda gani na je, muda waliopewa kama tayari umekwisha. Mwenye kufahamu tafadhali atujulishe.
   
Loading...