Ivory Coast Vs Tanzania


Hizo ni ndoto za alinacha,mimi naona Kaseja akiomba apigwe subb kuepusha kuzidi kuchafua record kwa kufungwa magoli mengi.
 
hapa bongo tutaona kupitia tv gani jamani, msaada please, dakika chache kabla mpira haujaanza....
 
Lazima tuandamane manake timu yetu haina uwezo huo na hata wachezaje wetu pia wanajua hilo wamekula lift mpaka huko tu na selection yenyewe siyo nzuri ni simba tupu.

Wenyewe (reffering to Salum Aboubakar) walishajiona ni kama waokota mipira mbele ya wachezaji wa Ivory Coast,wakiongozwa na nahodha wao atakayeongoza kuokota mipira ya wavuni,sasa kunanini tena hapo?
 
Gambia anaongoza bao 1-0 dhidi ya Moroko now dakika ya 26. Hawa tuko nao kundi moja na tukumbuke Moroko alishatufanyia mchezo mbaya Uwanja wa taifa na kwao Rabat. Nafasi yetu labda leo tushinde
 
hapa bongo tutaona kupitia tv gani jamani, msaada please, dakika chache kabla mpira haujaanza....

Jamaa walisema StarTv lkn naona saa 2 hiyoo inabisha hodi na ndo kwanza wanaweka taarifa ya habari
 
Kaseja anaonekana kuwapa moja vijana,lakini ivory kiukweli wapo full ngwamba,yaani mashine zote ndani
 
Game saa mbili usiku kwa saa za Tanzania ambapo ni saa 11 jioni kwa saa za Ivory Coast. Inaonyeshwa na RTI 1 TV ya Abidjan. Kazi kwako!
Je hakuna online TV nyingine inaonyesha hii mechi?? maana huku nadhani siwezi ipata hiyo TV, naombeni mwenyeonline link atuwekee hapa tuone
 
Mechi ni kali sana,vijana mpaka sasa wamehili vishindo dk ya 5
 
Game limeanza dakika saba now hakna bao. Nacheki pia game la Sudan vs Zambia nitawapeni updates mechi zote hizi
 
Jamani mechi inayonyeshwa wapi? Nisaidieni na links.
 
Game limeanza dakika saba now hakna bao. Nacheki pia game la Sudan vs Zambia nitawapeni updates mechi zote hizi

Unatumia hizi link ulizonitumia? Zinafanya kazi .. Nipo barabarani kijana kama zinafanya kazi nipe feedback nitulie sehemu nicheki game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…