Viwiliwili!! kwani wachezaji wa Taifa star wamekuwa Viluwiluwi hadi wawe na viwiliwili, naona roho inawauma kuona kina Drogba wameishia magoli mawili tu, mlitamani vijana wapigwe mkono, lakini ndo hivyo dakika 90 zimeisha.
Hizo ndo zenyewe ndo maana hawajasababisha penati, sio kama za kina Nsajigwa na Chuji za kupeleka miguu kwenye miguu ya opponent wako.Sasa deffensive mechanism gani zile?,mtu anaingia kama gunia la lumbesa ndo maana huwa hatuvutii hata mawakala wa ligi daraja la 3 zaa nchi za wenzetu
Duuh! Umejibu, umetoa ziiiinga la pointi. Kama ajaelewa basi atakuwa bado ana stress za 5-0Hizo ndo zenyewe ndo maana hawajasababisha penati, sio kama za kina Nsajigwa na Chuji za kupeleka miguu kwenye miguu ya opponent wako.
Vipi kona imezaa goli??kona tunapata watz
Wow, mtu kama huyu ni kumuombea tuu yaani mashabiki uchwara utawajua tu, Tegete hata timu yake hapati namba sasa sijui unataka kutueleza nini hapa. Beki imecheza vizuri sana leo na kama ingekuwa ile stars ya zamani ( hata Maximo alikula bao 4 kule ) tungelambwa nusu dazeni. Pia ungesema tumem miss yule kijeba ambaye kila mwaka anarudisha miaka nyuma, Nsajigwa ambaye bado ana maumivu ya Okwi...lolTumejitahidi kausema kweli.Beautiful beginning for our second POULSEN.
Mimi niliwaambia maneno haya na wameishia kunitukana tu hapa jamvini...lakini message sent.Jipeni tu Matumaini! Ki Ukweli Mkubali Mkatae! Mpira hapa kwetu Bado! Mpira ni Mipango! Sio ujanja ujanja tu!! Hao waongozaji wa hatma ya Mpira wa bongo nadhani hamjui wanapatikanaje nyinyi!! Kama hadi wazee waliochoka wale wa yanga wana maamuzi ya futiboli ya Tanzania mnategemea nn?
Mie nimewambia yote hayo usemayo....itachukua miaka 500 kutoka sasa Tanzania iwe na soka kama la UK.Utaki unaachaUzalendo ni pamoja na Kusema ukweli!kulazimisha kutaka timu yetu ishinde sio kipimo cha uzalendo, wakati ukweli haupo hivyo!! Angalieni na presha za mioyo yenu! Hakuna mpira wa kujipa presha hapa jamani!! Hivi mnajua hapo tunacheza na akina nani, na wamefikaje hapo walipo?? Wanalipwa shilingi ngapi kwa wiki? Wanafundishwa na Makocha wa viwango gani! Acheni banaa!!
Haya ndiyo maneno yenu ya kila siku! mnajazana ujinga tu vichwani. Tanzania hakuna soccer! FULL STOP.kwa kweli japo tumefungwa ila vijana walijitahidi, walau kuna pasi zinaonekana.
Ni ukweli usiopingika kwamba vijana wamecheza vizuri.......Tatizo lilikuwa ni kwenye umaliziaji......Mbwana Samatta hakuwa na msaidizi mzuri pale mbele......Angecheza kwa kushirikiana na Boban ama Thomas Ulimwengu mambo yangekuwa mswano......Tusubiri mechi na Gambia na Morocco...
Ila ukweli nikwamba Bocco ni garasapale Stars tofauti na anavyokuwa Azam.....Pia Ngassa hajacheza kwa kiwango chake leo.....
kaka
naomba uelewe kuwa mpira ni mchezo wa kushirikiana,huwezi kucheza 10 ama 9 then ukaenda nyuma ukachukua mpira na kukimbia nao hadi ukafunge gori,ni lazima kuwe na wachezaji wengine watakao weza kusaidia kupeleka mpira ktk njia zake na kumlisha namba 10 ama 9 ili aweze kutufungia magori,umewaona ivorycost wanaonyesha ushirikiano wa hali ya juu na ndio maana mala zote unamwona kaluu akiwa na mpira
john boko anavyokuwa azam elewa kuwa kunawachezaji wanaoweza kumchezesha boko yaani kumpa pasi za mwisho nzuri ili aweze kufunga gori,sasa kama namba 8 ama 11 ama 7 hawawezi kuleta mpira mizuri kwa boko ulitegemea boko afanyeje
kiukweli nimeuona ule mpira vijana wamecheza tofauti na nilivyotegemea
Hata mbuyu ulianza kama mchicha!
Huwezi ukamkana baba yako au mwanao hata kama ni kimeo/kilaza.Kuweni na akili this is a national team,no matter how bad it performs.If we grasp patriotic maturity, neither simba nor whatsoever club on our land shall keep us into fierce groups when it comes to national affairs.
Akili za Milioni 750, kweli Akilimali kama jina lako.