Ivory Coast Vs Tanzania

alafu hii tabia ya sijui Simba na ivory coast au Chelsea na Simba ife kama hamuwezi kutizama mpira kakuneni nazi vibao vipo jikoni. Taifa stars itaweka tu mambo sawa.
 

Tumefungwa 2 -0
 
KAKA
acha uzushi,vijana wameonyesha mpira mzuri sana
tatizo lenu mna wachezaji wenu muwatakao ndio mana nampenda maximo hakuwa akisikia kelele zenu za usimba na uyanga
Ni ukweli usiopingika kwamba vijana wamecheza vizuri.......Tatizo lilikuwa ni kwenye umaliziaji......Mbwana Samatta hakuwa na msaidizi mzuri pale mbele......Angecheza kwa kushirikiana na Boban ama Thomas Ulimwengu mambo yangekuwa mswano......Tusubiri mechi na Gambia na Morocco...

Ila ukweli nikwamba Bocco ni garasapale Stars tofauti na anavyokuwa Azam.....Pia Ngassa hajacheza kwa kiwango chake leo.....
 
Mmemwacha canavaro na tegete mkaona hiyo mizoga inafaa
 
huyo ndio alikuwa kauzibe ndio maana baada ya kutoka wakapata goli la pili tumia akili wewe kufikiri...
hahaha, sasa wewe ndo huna akili, mimi nilimaanisha kuwa huyu aliyepewa kadi nyekundu anastahili kulaumiwa, kwasababu kama asingepewa tusingekuwa wachache tukafungwa na la pili...kama alikuwa kauzibe, sasa si angebaki ili aendelee kuwa kauzibe....cha muhimu ni kwamba, ni muhimu sana wachezaji wetu wajifunze kucheza kimataifa, wasicheze faulu za yanga na simba wakifikiri huo ndo mpira wa kimataifa, mchezaji mwenye akili anatakiwa kucheza kwa kutumia akili na ujuzi pia, una kadi ya njano, lazima ikae kichwani kwamba ukifanya mchezo utapata nyekundu na uta frustrate timu yote. ili wachezaji wawe na nidhamu ni bora mmoja wapo apewe adhabu ya kukaa bench kidogo pale anapofanya fyongo, la sivyo tunakuwa tunalea ugonjwa.
 
Wikend yangu itakwenda vizuri sasa!
 

We ulitaka achukuliwe nani mwenyekiwango toka Yanga? Ulitaka Nsajigwa? Au ulitaka Niyonzima wakati unajua si mtz? Acha rohombaya! Simba mwaka huu wanakiwango na Yanga wamechapia kiwango hamna,siunaona Nsajigwa mwenyewe katemwa Yanga? Kiwango Yanga kiko wapi? Acha unazi usio na maana wewe!
 
Vijana wa Taifa star mmecheza vizuri, kazeni buti na huko mbeleni mambo yatakuwa mazuri.
 

Sidhani kwamba alimfuata mshambuliaji. Ilikuwa anapokea pasi iliyomzidi toka kwa Ngassa, na mshambuliaji wa Ivory coast alikuwa kaitokea, na kuonekana na nafasi nzuri ya kumiliki mpira na kwenda golini kwetu.
 
Hawa Ivory Coast wakienda huko bongo watafutiwe kila namna wapigwe hata u*p*u*p*u*. Pambaf zao, wao kila siku wanataka kutufunga tu, vitoto vimejitahidi lkn mijamaa inabana tuu haina hata aibu, aaagggggrrrrrr!
 
unanitukana bure, mimi naangalia mpira kupitia jamii forums mnapoandika hapa, sioni laivu, hasira zako za kufungwa unazimalizia kwangu, au ni hasira za mimi kumsema huyo aliyepewa kadi nyekundu na kufrustrate wachezaji wetu waanze kucheza kwa kujilinda badala ya kutafuta goli kwasababu wamekuwa wachache, samahani kama nimekuuzi, pengine huyo aliyepewa kadi nyekundu ni mchumbako sasa kimekuuma, pole.
 

kinaangaliwa kiwango cha mchezaji sio cha timu.
 

Ni viwango gani walivyoonyesha beki line ya Simba ooh sorry Taifa Stars leo,kule kuwa'block washambuliaji wa Ivory Coast kwa viwiliwili?
 
Wow, mtu kama huyu ni kumuombea tuu yaani mashabiki uchwara utawajua tu, Tegete hata timu yake hapati namba sasa sijui unataka kutueleza nini hapa. Beki imecheza vizuri sana leo na kama ingekuwa ile stars ya zamani ( hata Maximo alikula bao 4 kule ) tungelambwa nusu dazeni. Pia ungesema tumem miss yule kijeba ambaye kila mwaka anarudisha miaka nyuma, Nsajigwa ambaye bado ana maumivu ya Okwi...lol

Sijawahi kuona stars ugenini tena mbele ya mastaa wa dunia ikicheza kwa kujiamini kiasi kile, possession hata tunapiga pasi ndani ya 18 yetu na kuanzisha mashambulizi kwa pasi na sio butua butua...

Sijali kama players wanatoka Nyamswa, Mapogoro au Namtumbo. Naangalia performance ya timu kwa ujumla. Ona mpaka akina Tiote wametolewa denda.....niliona mara kwa mara Yaya anapiga kelele kuwaimiza wenzake wagangamale maana mtu asiyejua angeweza sema Stars ndiyo ina players wa EPL, Laliga ect..
Mmemwacha canavaro na tegete mkaona hiyo mizoga inafaa
 
Ni viwango gani walivyoonyesha beki line ya Simba ooh sorry Taifa Stars leo,kule kuwa'block washambuliaji wa Ivory Coast kwa viwiliwili?
Viwiliwili!! kwani wachezaji wa Taifa star wamekuwa Viluwiluwi hadi wawe na viwiliwili, naona roho inawauma kuona kina Drogba wameishia magoli mawili tu, mlitamani vijana wapigwe mkono, lakini ndo hivyo dakika 90 zimeisha.
 
Afazali umekonfem membaship ya kilabu chachibuku. Yaani unaangalia mpira thru kusoma JF....hii ni zaidi ya kutumia masaburi lol

 
kinaangaliwa kiwango cha mchezaji sio cha timu.
Yahoo naona na wewe umeanza kupotea unataka kumfuata mwenzake Anselm, sasa mlitaka kocha achukue wachezaji wote wa ligi kuu, kuna kipindi atateua tu kutoka Yanga na hamtatuona sisi tunazomea, iungeni mkono timu iliyopo sasa ndo timu yetu hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…