yeye analinga ndio unamhukumu hivyo je wewe mtaani kwako wanakusemaje kama huna jibu wewe ni mwehu afadhari anayelinga kuliko kusema mtu analinga bila sababu kumbuka sifa ya kwanza ya utangazaji ni kujiamini
yani huyo dada akiwa anatangaza taarifa ya habari lazima nigombane na watu hapa maskani.Wao wanataka ITV na mie nataka nimkodolee macho huyo Ivona hata wakininyima msosi poa tu!kwa walokole huwa hatusemi nimempenda au namtamani bali tunasema ananibariki sana!