Ivo MAPUNDA aushangaza Ulimwengu wa Soka la Kenya!

Ivo MAPUNDA aushangaza Ulimwengu wa Soka la Kenya!

Kuna jamaa wanataka chanzo huu. Gor Mahia fc net ndiyo chanzo kwangu mimi sijui wengine na mtoa mada
 
... siri kubwa anayo Maximo....... lakini maneno ya mtaani wanasema hawaivi sufuria moja na Juma K. Juma..... maana walipokuwa pamoja mambo yalienda ndivyo sivyo... si unajua tena mambo ya soka la bongo......!

Yale yale ya Steven Nemesi, Mohammed Mwameja,Mohammed Nyarusi,Patrick Mwangata enzi hizo yanaendelea hadi leo.

Nawaonea huruma chipukizi wetu wajao
 
Kama unajua mpira huwezi sema ivo ni zaidi ya kaseja. Rejea game ya msumbiji V tz(maputo) na game ya simba V enyimba (dar)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom