Wapo wanaocheza labda wachache sana wanafika hadi kucheza timu za ligi kuu, lakini ninaowakumbuka kwa haraka haraka: Tenga, Christopher Alex Masawe, George Minja, Golikipa Munishi, kuna dogo mmoja pia alikuwa anachezea timu ya mkoa wa Mwanza kwenye mashindano ya Coca cola.