ivi uyu jamaa yuko wapi?

ivi uyu jamaa yuko wapi?

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,414
Bishanga.jpg

uyu jamaa sijui yuko wapi maana tangu mimi nakua alikuwa ni mmoja ya watu mashuhuri nisiopenda kukosa kuwaona kwenye kideo
 
mhaya mnyakyusa,
ila kwel cjui atakua wp, afu alikua safi ktk maigizo..
Nahic aliona hailipi akaamua kufanya kaz tofaut
 
Bishanga.jpg

uyu jamaa sijui yuko wapi maana tangu mimi nakua alikuwa ni mmoja ya watu mashuhuri nisiopenda kukosa kuwaona kwenye kideo

Alikuwa anakwenda kwa jina la "BISHANGA BASHAIJA NTAMBULAMALOKO NTINTI NA NTALE". Mara ya mwisho niliwahi kumuona pale Africa Sana mwanzoni mwa mwaka 2006! Tangu pale sijawahi kumtia machoni tena
 
He is just around,ameajiriwa kama si Tazama or somewhere else.
 
Hivi yule Bishanga wa JF kumbe ni huyu kweli au mnatania tu wadau?
 
anaitwa Richard Allen. a.k.a BISHANGA,

Richard Allen Mwandemele marehemu baba yake alikuwa mchezaji mpira wa timu ya Taifa ya Gossage enzi hizo na wakina Yungi Mwanansali!!!
 
he is my uncle, Raymond Allen Mwandemele, recently anaishi mwenge-victoria employed and he z nt an actor anymore married and he has a daughter.
 
bishanga rich rich walid natasha sumbi na bocha na chikwa cha mamba mtaalamu wa yote acha bana sio wajinga wa sasa wa paste na kucopy
 
Huyu jamaa na kundi lake walikuwa safi sana kwenye luninga! Nakutana nae mara chache mtaani.
 
he is my uncle, Raymond Allen Mwandemele, recently anaishi mwenge-victoria employed and he z nt an actor anymore married and he has a daughter.

Then you must be my relative...kama ulichoandika hapo juu ni sawa.
 
Back
Top Bottom