Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,894 Reaction score 52,486 Dec 24, 2013 #21 Hahahaaa mwingine alilewa akagonga bajaji..kufika hospital bado anatukana sasa hapo sielewi ukubwa wa hiyo pombe kumwendesha mtu kihivyo..
Hahahaaa mwingine alilewa akagonga bajaji..kufika hospital bado anatukana sasa hapo sielewi ukubwa wa hiyo pombe kumwendesha mtu kihivyo..
samora10 JF-Expert Member Joined Jul 21, 2010 Posts 7,607 Reaction score 4,818 Dec 24, 2013 #22 Ukiona hivyo ujue Pombe za mawazo hizo..
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Dec 24, 2013 #23 1. Pombe za bure hizo 2. Wana tumia pombe kuendeleza agenda zao za matusi. 3. Akili fupi za mbayuwayu 4. Ulimbukeni 5. Mafunzo ya matusi hayo
1. Pombe za bure hizo 2. Wana tumia pombe kuendeleza agenda zao za matusi. 3. Akili fupi za mbayuwayu 4. Ulimbukeni 5. Mafunzo ya matusi hayo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,669 Reaction score 860,990 Feb 17, 2020 #24 Huo sio ulevi... Ulevi usisingiziwe na mambo mabaya Vituka said: Ivi ni ushamba au ulimbukeni? Umelewa kwa pesa yako afu unatoa matusi ovyo! Ivi sheria inasemaje kuhusu watoa matusi ovyo hadharani? Ningekuwa na bastola nakuchapa za USO! Click to expand... Jr[emoji769]
Huo sio ulevi... Ulevi usisingiziwe na mambo mabaya Vituka said: Ivi ni ushamba au ulimbukeni? Umelewa kwa pesa yako afu unatoa matusi ovyo! Ivi sheria inasemaje kuhusu watoa matusi ovyo hadharani? Ningekuwa na bastola nakuchapa za USO! Click to expand... Jr[emoji769]