Ivi tuko wangapi tuliojaza hii faculty kama 1st choice?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Jamani wakuu mlio omba udahili kwa cas-tcu,wale mlio omba bcom-finance udsm kama 1st choice ebu jitokezeni humu ili tujijue tuko wangapi tulio omba hiyo faculty ili tujue competition itakuaje,maana kama ilivoonyeshwa kwenye guide book ya tcu hyo faculty inachukua watu 80 tu,sasa sie wengine ingawa tumeandikiwa eligible lakin hatujui kama tutabahatika kuchaguliwa!
 
Hata jF wakitokea watu 50 wengine basi fahamu kuna 200+ nje ya JF maana sio wote wako humu !!
 
Duh!kijana una wasiwasi sana mbona?anway,kama una dv 1 au 2,ondoa wasiwasi,utaipata tu!infact watu wengi huwa hawaiombi,cjui kwa nin so uwezekano wa kuipata upo!over
 
Jamani wakuu mlio omba udahili kwa cas-tcu,wale mlio omba bcom-finance udsm kama 1st choice ebu jitokezeni humu ili tujijue tuko wangapi tulio omba hiyo faculty ili tujue competition itakuaje,maana kama ilivoonyeshwa kwenye guide book ya tcu hyo faculty inachukua watu 80 tu,sasa sie wengine ingawa tumeandikiwa eligible lakin hatujui kama tutabahatika kuchaguliwa!
acha uoga hujiamini nini, kama umefeli ni wewe pekeako, na vicredit vyako vya kuunga unga, HUMU TUNAHITAJI CONSTRUCTIVE IDEAS!
 
Jamani wakuu mlio omba udahili kwa cas-tcu,wale mlio omba bcom-finance udsm kama 1st choice ebu jitokezeni humu ili tujijue tuko wangapi tulio omba hiyo faculty ili tujue competition itakuaje,maana kama ilivoonyeshwa kwenye guide book ya tcu hyo faculty inachukua watu 80 tu,sasa sie wengine ingawa tumeandikiwa eligible lakin hatujui kama tutabahatika kuchaguliwa!

Mkuu wenzio wanaomba degree program/course wewe unaomba faculty yote!? nadhani hakutakuwa na competition kwa sababu utakuwa ni wewe peke yako uliyeomba faculty. (jus me opinion)
 
mkuu,huyu dogo bado njuka..msamehe 2.
 
Dogo naona una kimuhemuhe cha kwenda chuo..tuliza boli..
 
Jamani wakuu mlio omba udahili kwa cas-tcu,wale mlio omba bcom-finance udsm kama 1st choice ebu jitokezeni humu ili tujijue tuko wangapi tulio omba hiyo faculty ili tujue competition itakuaje,maana kama ilivoonyeshwa kwenye guide book ya tcu hyo faculty inachukua watu 80 tu,sasa sie wengine ingawa tumeandikiwa eligible lakin hatujui kama tutabahatika kuchaguliwa!

mm pia nmejaza fist choice hiyo
 
jumla ya 122 wameapply kama first choice hiyo kitu ya finance

duh!me mwenyewe nimeapply kama 1st choice mkuu.vipi umejuaje kama total number ya walioiweka hiyo kozi kama 1st choice wako 122?
 
Back
Top Bottom