Ivi inawezekana kweli????

Story nyingine hazina kichwa wala miguu! Mtoa mada why asiseme huyo kaka ha do na mkewe kwa miaka mi 3 kwa sbb gan???? Ilitokea tu bila sbb??
 
Ni kweli nakuunga mkono ila ukifika kwenye ft 6*6 unavua papuchi mwenyewe unakamatia dushelele unakula koni kisha sebene unalikatika mpaka kichna unaongea akimaliza unamsifia kuwa ni malaika, ukija jf anageuka kuwa shetani
Sifuti kauli maana nina ushahidi wa kutosha kuhusu ushetani wa wanaume.
 
Hahahahaha hv kumbe hata magoli ya mkono yanaruhusiwa?
 
Ama kweli kua uyaone ...watu wana styles!
 
Wanaume wengine kwa fix? Hapo Jamaa alitaka umuonee huruma ili umgawie hicho kitumbua chako. Hana lolote huyo
 
Ukitaka kujua kuwa jamaa alikuwa anatumia kama njia ya kukutega ni hapo aliposema hayuko tayari kushiriki tendo na mkewe!
Je alikuwa anataka ushauri gani?
 
mmmh huyo alikua anatafuta pa kutokea tu akutongoze hana lolote!
 
anaweza akajiliza ukaona unaliliwa kumbe anakung'ong'a moyoni. chezea banaume hawa. anaweza akamtukana mkewe kuwa ni shetani ukajiona wewe malaika wakati ana madhumuni mengine. shwain

Ahahaha..umegonga ikulu. Kwa kweli ni dharau kubwa kwa wanawake..tulieni na wake zenu si mliwapenda mkaamua kuoa!!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…