King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,678
- 68,652
Una miaka mingapi?
Acha ****** soma dogo......hao wanawake watakupeleka kuzimu mda si mrefu!
Hilo ni tatizo lako mwenyewe,ila tulia usipende kutafuna tafuna!!
Vicheche.Ndio watu gani hao mkuu?
Wakuu,me cjui huwa nina tatzo gani,yan kila nikiwa naongea na msichana ambae nampenda kwa dhati huwa nakua speechless kabisa,naweza nka mcall kwenye simu afu ncmwambie kitu chochote cha maana,hadi wkt mwngne huwa najishtukia mwenyewe eti,lakin cha kushangaza nikiwa naongea na wasichana wengne ambao najua ninataka kuwatafuna tu then niingie mitini,huwa nakuaga na confidence za ajabu.sasa wakuu,ebu naomben mnishauri,hapa tatzo langu huwa linakua wapi na nifanye nin ili kuondoa hiyo hali?