IVI HII SERIKALI HAMNA MTALAAM WA UCHUM KWA SASA???

yusuphmarcogaga

Senior Member
Jan 5, 2014
145
162
Nabak kujiuliza kama serikal ya awamu ya tano kama hamna wataalam wa uchumi ili kuwaelimisha athari za kauli za rais na waziri mkuu katika demand and supply kwann hawa viongoz wana lazimisha kupanda kwa bei ya vyakula bila sababu .....naomba leo kuielimisha serikal hii kitalaam kidogo kwamba kauli ya rais au wazir mkuu ina uwezo wa kusababisha kilichopo kikawa hadimu na hadimu kikawepo hata leo hii Rais akisema tuna uhaba wa mchanga nchini kauli iyo ina uwezo wa kupandisha bei ya mchanga kwa kuwa wafanyabiashara wata hodh mchanga wote uliopo lakini nawashangaa hawa viongoz walieneza propaganda hiyo kwenye sukar ilipanda na wakashindwa kurekebisha bei had leo kwa sasa wameanza ngonjera ya njaa na upatikanaji wa chakula mnasababisha wafanyabiashara kununua mahindi yaliyopo sokon na kuifungia juct kwa tension mnayoieneza ....kama hamuwezi kuzitafutia solution matatizo haya tafadhali msiwe mnaitolea kaul mnadhoofisha uchumi.
 
Back
Top Bottom