Hivi biashara ya laundry dryer cleaning inalipa kweli kwa dar na Dodoma

Hivi biashara ya laundry dryer cleaning inalipa kweli kwa dar na Dodoma

ivanny jr

New Member
Joined
Sep 4, 2026
Posts
4
Reaction score
11
Maana nataka nifungue bishashra hiyo

laundry dryer.jpg
 
Maana nataka nifungue bishashra hiyo
Kwanza je unaijua hiyo biashara vizuri?Pili fanya utafiti wa laundry zote zilizopo dar au dom,sasa baada ya utafiti wako huo ni kitu gani umegundua? Tumia huo utafiti kuanzisha hiyo laundry anbapo umeona gape.Ila nakutahafhatidha ni mradi unaotaka fedha nyingi maana vifaa vyote ni lazima ukavinunue nje ya nchi
 
Oya mbona wengi tuu wana tumia hizi domestic machines
 
Mimi nimepiga hesabu nikaona m2 inatosha cjakurupka
Unataka kusema 2M itatosha kupata hivi vyote Mzee?

1. Washing Machine.

2. Tumble Dryer.

3. Steam Iron.

4. Ironing Table.

5. Sealing machine.

6. Sabuni (Unga & kimiminika).

7. Mifuko ya Nguo safi.

8. Disposable hangers.

9. Suspending Stations/Posts.

10. Na kadhalika.
 
Kibongo bongo 1,6,8 na 10 ndio muhimu. Mengine hayo sio muhimu sana. Kunyoosha utanyoosha mwenyewe nyumban kwako, 7,8,9 ndio sio muhimu kabisa
 
No 2 ni muhimu kama no 1 au kuliko no 1.
Tena bora ungesema no 1 ndo sio muhimu kubongobongo.
Kipindi cha mvua nguo zitakaukaje ?
Mteja kaja saa moja usiku anataka saa 4 apitie nguo yake akavae unakaushaje?
 
Unataka kusema 2M itatosha kupata hivi vyote Mzee?

1. Washing Machine.

2. Tumble Dryer.

3. Steam Iron.

4. Ironing Table.

5. Sealing machine.

6. Sabuni (Unga & kimiminika).

7. Mifuko ya Nguo safi.

8. Disposable hangers.

9. Suspending Stations/Posts.

10. Na kadhalika.
11. Kodi ya frame
12.Bago la kubranda
13.Decoration ya office
14. Leseni ya biashara
Nk

Ngoja tuone mchanganuo
 
Back
Top Bottom