Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
wrong matatizo yalikuwepo toka zamani ila watu walikuwa discreet kukwepa aibu. wazee waliomba mdogo/kaka mtu alale na shemeji ili mtoto apatikane but times have changed. you're no longer considered a social pariah ukiwa na matatizo na uzazi due to elimu na realistically the younger generation like mine hatuwezi kubali the 'old solutions.Nilishangaa kuona clinic moja ya IVF mitaa ya mikocheni wakati napita nikiwa kwenye gari la mshkaji, nikaropokwa 'atakua amefungua kwa ajili ya wazungu!' nikidhani Dar niliyoiacha enzi za mwalimu ndo ileile. Enzi hizo hii haikuwa issue na matatizo ya uzazi ni suala ambalo wanandoa walikua wakideal nalo very discreetly. Apparently, according to jamaa niliokuwa nao kwenye gari- matatizo ya uzazi yamekua very common siku hizi, especially kwa young couples na watu wanayaongelea bila kificho. Nikaambiwa gharama pia ziko juu sana, one of them mentioned 15m na hakuna guarantee kuwa utafanikiwa. Je ni kitu gani kimebadilika siku hizi? Mbona zamani hiya matatizo yalikua sio mengi kama siku hizi?
wrong matatizo yalikuwepo toka zamani ila watu walikuwa discreet kukwepa aibu. wazee waliomba mdogo/kaka mtu alale na shemeji ili mtoto apatikane but times have changed. you're no longer considered a social pariah ukiwa na matatizo na uzazi due to elimu na realistically the younger generation like mine hatuwezi kubali the 'old solutions.
wrong matatizo yalikuwepo toka zamani ila watu walikuwa discreet kukwepa aibu. wazee waliomba mdogo/kaka mtu alale na shemeji ili mtoto apatikane but times have changed. you're no longer considered a social pariah ukiwa na matatizo na uzazi due to elimu na realistically the younger generation like mine hatuwezi kubali the 'old solutions.
ivf ni nini jamani huwa inafanywaje na kwa mtu kama mimi ambae nilitolewa prostate,na kwa sasa nikifanya sex mbegu hazitoki kabisa hiyo ivf inaweza kunisaidia kupata mtoto?nijuzeni wataalamu
naposex nasikia raha tu kama kawaida ila ni dry ejaculation yaani hakuna majimaji kabisa na kuna demu mmoja nilikuwa natembea nae kwa muda wa mwaka mwishowe akaniuliza mbona hutoi shahawa,aisee ilibidi nimweleze ukweli akasema basi tuachane maana hawezi kuingiliwa bila kutemewa mbegu,ila juna wakati unapoejaculate unasikia maumivu sana.perfomance sio mbaya ni nzuri sana but no mbegu tumpendwa, unatakiwa kuonana na urologist na akupe ushauri kwa kuangalia situation yako ama kukupima upya.
Naomba niulize kwa ufahamu tu (its ok kama haujisikii kujibu). How do you climax kama mbegu hazitoki kabisa? Unajisikia raha tu, ama unatoka maji maji (manii)?
naposex nasikia raha tu kama kawaida ila ni dry ejaculation yaani hakuna majimaji kabisa na kuna demu mmoja nilikuwa natembea nae kwa muda wa mwaka mwishowe akaniuliza mbona hutoi shahawa,aisee ilibidi nimweleze ukweli akasema basi tuachane maana hawezi kuingiliwa bila kutemewa mbegu,ila juna wakati unapoejaculate unasikia maumivu sana.perfomance sio mbaya ni nzuri sana but no mbegu tu
Perfume toka ulaya na china.Nilishangaa kuona clinic moja ya IVF mitaa ya mikocheni wakati napita nikiwa kwenye gari la mshkaji, nikaropokwa 'atakua amefungua kwa ajili ya wazungu!' nikidhani Dar niliyoiacha enzi za mwalimu ndo ileile. Enzi hizo hii haikuwa issue na matatizo ya uzazi ni suala ambalo wanandoa walikua wakideal nalo very discreetly. Apparently, according to jamaa niliokuwa nao kwenye gari- matatizo ya uzazi yamekua very common siku hizi, especially kwa young couples na watu wanayaongelea bila kificho. Nikaambiwa gharama pia ziko juu sana, one of them mentioned 15m na hakuna guarantee kuwa utafanikiwa. Je ni kitu gani kimebadilika siku hizi? Mbona zamani hiya matatizo yalikua sio mengi kama siku hizi?