I've lied 2my boo abt pregnancy, heeeelp

I've lied 2my boo abt pregnancy, heeeelp

nawashukuruni jamani najaribu kupitisha uamuzi now baada ya kuevaluate each and every advice u gave me lol, nitawaletea mrejesho soon
 
Azfah, hapo mi nahisi umeharibu!
If usipomwambia ukweli, hata akikurudia penzi lenu litapoteza nguzo muhimu sana ktk penzi bora! Nguzo yenyewe ni UAMINIFU! Its ok, wewe utamuamini zaid ya sana, but yeye atatumia tukio hili kama reference kuthibitisha wewe ni muongo ktk matukio mengine, pengine unachoongea is nothing but true!
UTAFANYAJE SASA?
(Nadhani hofu yako ww ni kumpoteza, na sio kumuambia ukweli!)
Stop calling him!
After 1 week, still he is silent! Prepare urself and follow him thereto (where he live) (stop calling him unless and until u face him!
Naamini unahoja nzuri za wewe kufanya ulivyofanya! Mkumbushe wanaume wa sasa (sio wote) wanavyogegeda na kuacha!
Mkumbushe pia kwamba unampenda sana thus why ukataka kuproof, coz intension yake ilikua ndogo!
Akikataa, mwambie Ok lkn huo ndio ukweli!
Naamini hata yeye anaweza kumtuma rafiki yake ajekumchukulia mawazo humu kwa GREAT THINKERS! Na ukija uzi huo si unaujibu mwenyewe tu! Ukiona watu wanatia gundu unawaPM wakusapoti!
Hahahahahahahahaaa....!
Ukweli siku zote humfanya mtu kuwa huru!
 
icon9.png
nashindwa kuadmit kosa coz naamini there are things in life u cant confess nafanya hivi kuepuka kumuumiza kivyovyote.

lol..

Love knows no such a thing..mwambie ukweli, ikiwemo sababu ya wewe kulizua hilo jambo in the first place..I would have wanted to be told the truth..

seeking attention is understandable...but the means you used were insane....
 
NAWASHUKURUNI NYOTE KWA USHAURI WENU NOW NAENDELEA POA NA HUYU MAN WANGU, nimeconfess amenielewa... now mapenzi ni zaidi ya awali, nitarudi tena kuwahabarisha tarehe ya harusi lolest..najiona ka nimezaliwa upya yani
 
Awww jamani I AM SO HAPPY FOR YOU GIRL,you made the right choice...I hope you people have a wonderful relationship...Best of luck :smile-big::smile-big:
 
Anakusoma mwenyewe hapa jamii forum, kwahiyo anajua we mwehu wa mwisho katika wehu wengine. Ulivyojua umedanganya kwanini huwenda hospitali kumuweka sawa daktari akutetee? Inaonyesha wewe siyo mke mwema hata baadaye kwa huyo kaka. Fanya unaloweza ushike mimba sasa iwe kweli la sivyo kubali umepoteza bahati.
 
ww ndo unaniona mwehu...ckuweza kumpanga daktari kwasbb ckujua kama angechunguza kwa kiwango hiki lol! nimepata bonge la lesson yani
 
Hahahaaaaaaaa! WHATEVER YOU NEVER EVER CONFESS!!!!!!!!!!!! Hata akiendelea kuchunguza, DIE FIGHTING!!!!!!!! Ukilogwa ukajikaanga na mafuta yako mwenyewe, HE WILL NEVER EVER TRUST YOU AGAIN!!!!!!!

Yaani hapo hata kama mimi ndiyo huyo mwanaume, akirogwa kuniambia ukweli tu, sitamuamini tena.
 
Siku nyingine ukidanganya hakikisha unatengeneZa mazingiraboande zote
 
Siku nyingine ukidanganya hakikisha unatengeneZa mazingira pande zote
 
Back
Top Bottom