I've lied 2my boo abt pregnancy, heeeelp

I've lied 2my boo abt pregnancy, heeeelp

she did a crappy thing. some guys are sensitive about mimba, he probably started dreaming about babies etc

I know, she cant undo that.
Ingawa simtafutii excuse, lkn imagine mwanaume anamuignore mdada kiasi kwamba ktk kusaka attention anafikia kutunga uongo kama huo? Na kweli it did work, kisa? Thamani ya mdada imepandishwa na kile kilicho supposely bebwa tumboni kwake, sio fair pia.
 
just confess and tell hima all that u intended mpaka ukafikia hatua ya kudanganya otherwise u will lose him peupeee
 
Hapo chacha ,itafute ya ukweli,inawezekana hauzai kiukweli ukweli

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
cdhani kama kutafuta mwingine iko rahisi ivyo?! kwenye mapenzi kuna kukoseana na kusameheana. i lied for nothing as i ddnt intend digging his pocket whatsoever, tena wakati namwambia alivonikazania kuniuliza maswali mingi nikamwambia "kama unadoubt on this preg, leave me alone...can raise a kid wthout u"..
A%20S%20cry.gif
Lets assume he founds out the truth as his instincts tells him so and he leaves you(its just an assumption)...while you never even told the truth, Did you try hard enough to solve this?...You will never forgive yourself my dear,you will live with regrets for the rest of your life...Then you will have to live the fact that you have destroyed your relationship with your own two hands!Be honest with yourself my lovely sis!
 
thnx Kaunga

unajua most of times kwny r/shps watu hawakiri how deep they've fallen 4 their partners/lovers labda kwakuogopa kuumizwa or being let down, hiyo ndo iliyotokea kati yetu. Najua ananipenda much but he never admit it kutokana na his past love history, nami pia nampenda mno but again didn't show it that much...nilikuwa namchukuliga poa. I cant imagine moving on without him

Good, kwavile mnajuana vizuri, basi give him time ya kurecover. Ukiona ku-come clean inafaa basi mueleze why you did that na uombe msamaha huku ukimuonesha kujuta na kwamba he has a right to feel betrayed lkn unampenda na hufikirii maisha ya wawili bila yeye kuwa sehemu ya uwili huo.
 
I'm Azfah, going thru serious misunderstanding wth my boy (im not sure if he still mine lolest)

sometime this yr nlimwambia baby angu kwamba nimenasa while he was outta country for some b'ness, kiukweli i ddnt...ila tu nilitaka kugain ile attention yake coz since asafiri (na hata kabla hajasafiri) aliloose attention on me. basi alipokea suala hilo kwa furaha kubwa, akawa anapanga mambo kibao like meeting my parents, marriage process n living together, above all akaanza kunifeel as somebody very important in his life. Sasa mie nilishajua kwamba si mjamzito na sikudhani kama angelipokea kihivyo ilivyotokea coz mwanzoni nilihisi ananichukulia kama wa kuzugia/kiraka akipata wa kumfit achape lapa.

baada ya kujua siku c nyingi atarudi, nimemwambia mimba imetoka ameshtuka sana. sasa last week karudi akaniuliza nilitibiwa hospitali gani baada ya tukio nimemtajia, cjui kaenda kuchunguza na kukuta hakuna record ya hivyo...so now ananituhumu 100% kwamba nimemdanganya khs mimba na he is so much upset kwakweli napiga 4n yake hapokei, tho mie nimeendelea kukomaa kwamba nilichomwambia ni kweli na hadi navaa mkanda (after birth tummy belt) kumshawishi
icon9.png
nashindwa kuadmit kosa coz naamini there are things in life u cant confess nafanya hivi kuepuka kumuumiza kivyovyote.

Juzi nilifikiria kuachana nae but it was very hard yani hadi nishapoteza na kilo kadhaa...kiukweli ctaki kumpoteza huyu kaka, he means alot kwenye maisha yangu yani namfeel ile mbaya, najihisi mkamilifu na very commfortable nikiwa nae than any person under the sun.

naombeni ushauri what to do plz plz I'm dying

Ukome kabisa kudanganya danganya katika mahusiano. Halafu, haya mambo nenda kamalize na boyfriend wako.
 
Mie gf/mke/kimada akinidanganya ana mimba, ndio nitolee
Ananitania ili iweje? Sinaga msamaha kwenye mambo siriazi asee
 
Any lie is powerless bridge can not be depended upon,hauwezi ukajenga uhusiano wa muda(lifelong relationship) mrefu kwa kudanganya ,ni bora kuconfess kuliko kuishi kwa doubts kama sasa,what i mean gharama za kuishi na mpenzi anaedoubt issue zako ni kubwa zaidi ya kuconfess na kupokea motekeo ya confession,you cant live with lie ,litakusumbua.
Panga siku fulani mtoke pamoja matembezi ya jioni umtengenezee mood mzuri na uuseme ukweli,afterall motive yako ilikua nzuri(motive ya kufake mimba).
I can gurantee you uhai wa mahusiano haya but you will gain your esteem and dignity.
Na siku hyo ukienda huko uwe umejoindaa kwa lolote kama wako wako tu,wote ni wandamu na tuna madhaifu mengi tumetendeana,anaekupenda atapanda hata udhaifu wako,all ze best.
 
Juzi nilifikiria kuachana nae but it was very hard yani hadi nishapoteza na kilo kadhaa...kiukweli ctaki kumpoteza huyu kaka, he means alot kwenye maisha yangu yani namfeel ile mbaya, najihisi mkamilifu na very commfortable nikiwa nae than any person under the sun.

naombeni ushauri what to do plz plz I'm dying

Bishosti, Just quit the tummy belt drama and tell the poor guy the truth?
This is likely what will happen to you.

a) Akijua ukweli wote anaweza kukuacha, which is better kwa sababu jinsi ulivyo najua utakuja kufanya kubwa hata kuliko hilo mbeleni na atakuacha anyway coz kama ameweza kukucha kwa uongo mdogo tu atashindwaje?

b) Akijua ukweli na asipokuacha ni kitu ambacho kitakomaza uhusiano wenu coz mtakumbuka...A relationship with history is easy to go through problems(experience). And if he does this perhaps he's the guy u want to marry

c) Asipojua ukweli na akakuoa u'll never know tolerance yake kuhusu makosa ikoje. Really are u willing to spend the rest of ur life with a guy whose mistakes tolerance u don't know. Not even curious to test him with such a minor issue?
(Bi dada ndoa ni zaidi ya harusi na whatever chemicals flowing in ur blood. Its is arrangement that need careful considerations and manipulation of factors)

d) Anaweza asikuoe anyway (labda hakupendi kiviile), Y don't u just tell him for the fun of it? Or give him the reason to quit(That way utakuwa hujatumika sana)
 
Sasa nimekukamata, nakatisha uchunguzi wangu Agakhan.
 
Huu sio wakati mzuri kabisa wa kunasa mimba, inawezekana kabisa ushaanza kumtoka moyoni hivyo unaweza kunasa ukimwambia akahisi hata sio ya kwake, hapa unahitaji kuwa makini sana. Cha muhimu we relax angalia tu upepo unakwendaje huku ukijiandaa kwa chochote (kama kupigwa chini).

Hili nalo neno,ushauri mzuri!
...usibebe mimba aisee
 
Mpaka mimba feki?????!!!! Kweli Tz tuendako siko kabisa, ila naogopa tusijeambiwa tu na nchi yenyewe feki pamoja na wananchi wake maana tutashindwa pa kutokea.
 
Issue yako ngumu me sina uzoefu, angalia ya wengine. Ama kama ulimtaka kweli ungenasa kabisa bila kumuarifu. Mh kama anakupenda yataisha tu. Pole.
 
Kwa kweli sitaki kumpoteza huyu kaka he means a lot kwenye maisha yangu, huu msemo huwa unatamkwa na kila mtu,wanaume wapo kibao kaa utulie utampata the right one simple...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hahahaaaaaaaa! WHATEVER YOU NEVER EVER CONFESS!!!!!!!!!!!! Hata akiendelea kuchunguza, DIE FIGHTING!!!!!!!! Ukilogwa ukajikaanga na mafuta yako mwenyewe, HE WILL NEVER EVER TRUST YOU AGAIN!!!!!!!

dah we kiboko.
 
Hakufahi huyo, jaribio lako ni jibu tosha hakufai hata kidogo. yaani mpaka uwe na mtoto ndio uonekane wa maana? Wewe vipi eti siwezi kumpoteza, came on girl, ukizaa mtoto ikawa bahati mbaya itakuwaje? Achana naye nice guys tuko wengi tu wewe na roho yako.
 
Back
Top Bottom