I've lied 2my boo abt pregnancy, heeeelp

AZZY

Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
7
Reaction score
2
I'm Azfah, going thru serious misunderstanding wth my boy (im not sure if he still mine lolest)

sometime this yr nlimwambia baby angu kwamba nimenasa while he was outta country for some b'ness, kiukweli i ddnt...ila tu nilitaka kugain ile attention yake coz since asafiri (na hata kabla hajasafiri) aliloose attention on me. basi alipokea suala hilo kwa furaha kubwa, akawa anapanga mambo kibao like meeting my parents, marriage process n living together, above all akaanza kunifeel as somebody very important in his life. Sasa mie nilishajua kwamba si mjamzito na sikudhani kama angelipokea kihivyo ilivyotokea coz mwanzoni nilihisi ananichukulia kama wa kuzugia/kiraka akipata wa kumfit achape lapa.

baada ya kujua siku c nyingi atarudi, nimemwambia mimba imetoka ameshtuka sana. sasa last week karudi akaniuliza nilitibiwa hospitali gani baada ya tukio nimemtajia, cjui kaenda kuchunguza na kukuta hakuna record ya hivyo...so now ananituhumu 100% kwamba nimemdanganya khs mimba na he is so much upset kwakweli napiga 4n yake hapokei, tho mie nimeendelea kukomaa kwamba nilichomwambia ni kweli na hadi navaa mkanda (after birth tummy belt) kumshawishi
icon9.png
nashindwa kuadmit kosa coz naamini there are things in life u cant confess nafanya hivi kuepuka kumuumiza kivyovyote.

Juzi nilifikiria kuachana nae but it was very hard yani hadi nishapoteza na kilo kadhaa...kiukweli ctaki kumpoteza huyu kaka, he means alot kwenye maisha yangu yani namfeel ile mbaya, najihisi mkamilifu na very commfortable nikiwa nae than any person under the sun.

naombeni ushauri what to do plz plz I'm dying
 
Give him time.
Ukikiri hatakuamini kamwe. Ukiweza nasa mimba ya ukwelii safari hii.

BTW anaonekana mtu wa mimood, unafikiri anakufaa maishani? Maana attention mpaka uitafute ndipo anapoutoa.
 
Kwanza hapo muda wa kucomfess ushapita ila ukweli pekee ndo utakuweka huru

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hapo sasa, na ww si ungeandaa mazingira ya hosp hata kwenda kucheki malaria bana, mana asingeenda kwenye faili kuona ulikuwa unaumwa nn na pia hosp hairuhusiwi kutoa habari za wagonjwa isipokuwa kwa mgonjwa mwenyewe au ndugu wa karibu kbs..

mkomalie tu ivo ivo na usimuambie ulimdanganya sbb hiyo ndio itamfanya asirudi tena...
 
Duh..
You just reminded me of a very similar story, i didn't have time to compromise...tupa kuleeeee
 
Give him time.
Ukikiri hatakuamini kamwe. Ukiweza nasa mimba ya ukwelii safari hii.

BTW anaonekana mtu wa mimood, unafikiri anakufaa maishani? Maana attention mpaka uitafute ndipo anapoutoa.
she did a crappy thing. some guys are sensitive about mimba, he probably started dreaming about babies etc
 
AZZY sijui hata ulimwambia hiyo kitu ilitokaje tokaje na ulitibiwa hosp gani, ingawa ulifanya kosa, ingawa si kwa nia mbaya, lakini hata mimi sishauri umwambie ukweli itamchukiza zaidi! Ni bora usisitize kuwa hivyo ndivyo ilivyokuwa na kuwa hosp zetu za kibongo bongo si watunzaji wazuri wa kumbukumbu!
 
Last edited by a moderator:
I'm Azfah, going thru serious misunderstanding wth my boy (im not sure if he still mine lolest)

sometime this yr nlimwambia baby angu kwamba nimenasa while he was outta country for some b'ness, kiukweli i ddnt...ila tu nilitaka kugain ile attention yake coz since asafiri (na hata kabla hajasafiri) aliloose attention on me. basi alipokea suala hilo kwa furaha kubwa, akawa anapanga mambo kibao like meeting my parents, marriage process n living together, above all akaanza kunifeel as somebody very important in his life. Sasa mie nilishajua kwamba si mjamzito na sikudhani kama angelipokea kihivyo ilivyotokea coz mwanzoni nilihisi ananichukulia kama wa kuzugia/kiraka akipata wa kumfit achape lapa.

baada ya kujua siku c nyingi atarudi, nimemwambia mimba imetoka ameshtuka sana. sasa last week karudi akaniuliza nilitibiwa hospitali gani baada ya tukio nimemtajia, cjui kaenda kuchunguza na kukuta hakuna record ya hivyo...so now ananituhumu 100% kwamba nimemdanganya khs mimba na he is so much upset kwakweli napiga 4n yake hapokei, tho mie nimeendelea kukomaa kwamba nilichomwambia ni kweli na hadi navaa mkanda (after birth tummy belt) kumshawishi
icon9.png
nashindwa kuadmit kosa coz naamini there are things in life u cant confess nafanya hivi kuepuka kumuumiza kivyovyote.

Juzi nilifikiria kuachana nae but it was very hard yani hadi nishapoteza na kilo kadhaa...kiukweli ctaki kumpoteza huyu kaka, he means alot kwenye maisha yangu yani namfeel ile mbaya, najihisi mkamilifu na very commfortable nikiwa nae than any person under the sun.

naombeni ushauri what to do plz plz I'm dying

Azzy, katika mapenzi uongo ni kitu kibaya sana. Na uongo ukifanikiwa au haukufanikiwa mtakeo ni ysle yale, yanaumiza.
Katika penzi, mwenza anapokuwa na kauli tata enzi linatokea dirishani, maana mapenzi ni kuaminiana na utata unatia ukakasi katika penzi.

Kwa hivi sasa huyo besti wako anajiuliza maswali mia kidogo.
Je ilikuwa mimba yangu kweli?
Je kwa nini uliitoa au ilitoka?
Je mbona rekodi hosp hakuna?
Je bibie ana jamaa mwingine?
Je bibie ananichukulia kama ----- mtozeni?
Je.......Je......Je?

Mimi iliwahi nitokea hilo tena live!
Bibie alinidanganya ana mimba na baada ya miezi minne sikuona kitu.
Nilipomshutumu kuwa mbona mimba haipo ikawa ugomvi mkubwa.
Wakati huo huo nilisha nunua kiwanja nimjengee nyumba kwa ajili yake na kichanga.
Baada ya kugundua uongo ilibidi nirudishe majeshi na kutambua kuwa pale hapakuwa na penzi bali ukimbizi wa kipato.
Ni vyema nilitambua mapema na ku call it quits maana nyumba ningekuwa nimewajengea mabwana wengine!

Ushauri wangu tafuta mwingine uanze upya, hapo umeshaingiza serious doubt.
 
thnx Kaunga

unajua most of times kwny r/shps watu hawakiri how deep they've fallen 4 their partners/lovers labda kwakuogopa kuumizwa or being let down, hiyo ndo iliyotokea kati yetu. Najua ananipenda much but he never admit it kutokana na his past love history, nami pia nampenda mno but again didn't show it that much...nilikuwa namchukuliga poa. I cant imagine moving on without him
 
I'm Azfah, going thru serious misunderstanding wth my boy (im not sure if he still mine lolest)

sometime this yr nlimwambia baby angu kwamba nimenasa while he was outta country for some b'ness, kiukweli i ddnt...ila tu nilitaka kugain ile attention yake coz since asafiri (na hata kabla hajasafiri) aliloose attention on me. basi alipokea suala hilo kwa furaha kubwa, akawa anapanga mambo kibao like meeting my parents, marriage process n living together, above all akaanza kunifeel as somebody very important in his life. Sasa mie nilishajua kwamba si mjamzito na sikudhani kama angelipokea kihivyo ilivyotokea coz mwanzoni nilihisi ananichukulia kama wa kuzugia/kiraka akipata wa kumfit achape lapa.

baada ya kujua siku c nyingi atarudi, nimemwambia mimba imetoka ameshtuka sana. sasa last week karudi akaniuliza nilitibiwa hospitali gani baada ya tukio nimemtajia, cjui kaenda kuchunguza na kukuta hakuna record ya hivyo...so now ananituhumu 100% kwamba nimemdanganya khs mimba na he is so much upset kwakweli napiga 4n yake hapokei, tho mie nimeendelea kukomaa kwamba nilichomwambia ni kweli na hadi navaa mkanda (after birth tummy belt) kumshawishi
icon9.png
nashindwa kuadmit kosa coz naamini there are things in life u cant confess nafanya hivi kuepuka kumuumiza kivyovyote.

Juzi nilifikiria kuachana nae but it was very hard yani hadi nishapoteza na kilo kadhaa...kiukweli ctaki kumpoteza huyu kaka, he means alot kwenye maisha yangu yani namfeel ile mbaya, najihisi mkamilifu na very commfortable nikiwa nae than any person under the sun.

naombeni ushauri what to do plz plz I'm dying
I think you went the way off the boundary mpendwa...never mess with someones feelings...halafu hio code ulotumia imepitwa na wakati(old fashioned method)...kuna njia nyingine za kutest mapenzi and that was off the hook..THE TRUTH WILL SET YOU FREE....Tell him the truth if he loves he will understand and forgive you!Its better you tell him now than later..A relationship that is based on lies is a receipe for disaster...It will take a lot of time to build up his trust again!Ukichelewa utakosa mwana na maji ya moto!
 
Azzy, katika mapenzi uongo ni kitu kibaya sana. Na uongo ukifanikiwa au haukufanikiwa mtakeo ni ysle yale, yanaumiza.
Katika penzi, mwenza anapokuwa na kauli tata enzi linatokea dirishani, maana mapenzi ni kuaminiana na utata unatia ukakasi katika penzi.

Kwa hivi sasa huyo besti wako anajiuliza maswali mia kidogo.
Je ilikuwa mimba yangu kweli?
Je kwa nini uliitoa au ilitoka?
Je mbona rekodi hosp hakuna?
Je bibie ana jamaa mwingine?
Je bibie ananichukulia kama ----- mtozeni?
Je.......Je......Je?

Mimi iliwahi nitokea hilo tena live!
Bibie alinidanganya ana mimba na baada ya miezi minne sikuona kitu.
Nilipomshutumu kuwa mbona mimba haipo ikawa ugomvi mkubwa.
Wakati huo huo nilisha nunua kiwanja nimjengee nyumba kwa ajili yake na kichanga.
Baada ya kugundua uongo ilibidi nirudishe majeshi na kutambua kuwa pale hapakuwa na penzi bali ukimbizi wa kipato.
Ni vyema nilitambua mapema na ku call it quits maana nyumba ningekuwa nimewajengea mabwana wengine!

Ushauri wangu tafuta mwingine uanze upya, hapo umeshaingiza serious doubt.

cdhani kama kutafuta mwingine iko rahisi ivyo?! kwenye mapenzi kuna kukoseana na kusameheana. i lied for nothing as i ddnt intend digging his pocket whatsoever, tena wakati namwambia alivonikazania kuniuliza maswali mingi nikamwambia "kama unadoubt on this preg, leave me alone...can raise a kid wthout u"..
A%20S%20cry.gif
 
Give him time.
Ukikiri hatakuamini kamwe. Ukiweza nasa mimba ya ukwelii safari hii.

BTW anaonekana mtu wa mimood, unafikiri anakufaa maishani? Maana attention mpaka uitafute ndipo anapoutoa.

Huu sio wakati mzuri kabisa wa kunasa mimba, inawezekana kabisa ushaanza kumtoka moyoni hivyo unaweza kunasa ukimwambia akahisi hata sio ya kwake, hapa unahitaji kuwa makini sana. Cha muhimu we relax angalia tu upepo unakwendaje huku ukijiandaa kwa chochote (kama kupigwa chini).
 
cdhani kamaili akuamini.kutafuta mwingine iko rahisi ivyo?! kwenye mapenzi kuna kukoseana na kusameheana. i lied for nothing as i ddnt intend digging his pocket whatsoever, tena wakati namwambia alivonikazania kuniuliza maswali mingi nikamwambia "kama unadoubt on this preg, leave me alone...can raise a kid wthout u"..
A%20S%20cry.gif
Kurudisha penzi lililoingia luba kazi ngumu.
Kama kweli wampenda na unataka kurudisha uhusiano zaidi ya ule wa kwanza , tafuta muda na sehemu muafaka, a rosy setting.
Na umwambie kila kitu na facts ili akuamini.
Vile vile mwambie sababu ya kufanya vile na kuwa you love his attention, all eyed on you from him.
Usikose chozi jingi la kumyeyusha moyo wake.

Nakuhakikishia akikuamini umem win.
 
Sasa tukushauri nn, nazani ingekua bora ungetuomba ushauri kabla hujamdanganya, kwamba nataka nimdanganye mpenz wangu hiv na hiv, na sababu za kufanya hiv n hiz na hiz,,,
Sasa umekurupuka, yamekufika shingoni ndo unagundua kuna kuomba ushaur,,,,
Mimi ushaur wangu mfuate muekeze A 2 Z na umueleze sababu za wewe kumdanganya kua ulikua na mimba...
 
Back
Top Bottom