Itv

ngawia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
849
Reaction score
876
Tunaotumia star times itv mbona inasumbua huko wiki sasa na hatuoni utatuzi wowote
 
Mteja ni mfalme hao hawajuwi maana ya biashara achana nao
 
Tunaotumia star times itv mbona inasumbua huko wiki sasa na hatuoni utatuzi wowote

Jana niliona kwenye taarifa ya habari ya saa mbili khs hii kitu, inavyoonekana startime wenyewe ndio wana matatizo maana ht walipoulizwa na mtangazaji wa itv inakuwaje huo usumbufu unatokea hawakuwa tayari kuzungumzia hilo jambo.
 
Mimi huo usumbufu sijauona, huenda inategemea eneo na eneo
 
mimi nimeikosa ITV zaidi ya wiki mbili sasa napata shida sana maana naikubali sana kwenye taarifa za habari. kwa sasa imebidi niwe naangalia habari ya starTV japo nao wanachakachua taarifa balaa kama zilivyo tv nyingi za magamba wanachakachua sana
 
kweli kabisa na hai ni tbc tu coz taarifa yao ya habari haitazamwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…