ITV yasalimu amri

yani kuna watu hawajui watendalo yani hawana msimamo. El akitangazwa oooo kateka media oooo kamfunika magufuri..... sasa leo hajatangazwa tena siku moja tu tayari wameanza kulalamika oooo maccm ooo ubaguzi...
hakuna aliyekulazimisha kuona habari ITV .. vituo vipo vingi angalia tbc basi tuone nayo kama hamji kulalamika kesho tu hapa
 
Hawa wenye vituo vya tv hawajui kuwa wakianza kuwa bias watapoteza watazamaji wengi. Hii inakwenda kutokea, na wapo humu jf.
 
kuna aliyekulazimisha kama hutaki badilisha channel au zima ukacheze bao.
 
Hizi TBC1 na TBC ndio kabisa hizi ni Television za serikali hazitoi habari in general wanakuwa wanapangiwa kipi cha kuonyesha na kipi wasionyeshe zipo kwa maslahi ya Chama cha Mapinduzi
 

Wew muangalia por.n unahahahah kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…