gideonbooty
Member
- Aug 17, 2015
- 11
- 3
Pesa yenu mliotoa imeisha.
UKAWA mbona mna lialia?
Mwanamke mbea wewe na mchonganishi sana.Katika hali isiyokua ya kawaida Leo kituo bora cha ITV kimeshindwa kuripoti habari yoyote kuhusu ukawa huku ikitoa habari za chama cha mapinduzi peke yake,Leo kulikua na matukio mengi makubwa ikiwapo edwadi lowasa kula kiapo mahakama kuu lkn hawajaripoti wakashia kuripori za makofuli...
Tena safari hii tutamkata vibaya kweli zaidi hata alivyokatwa kwenye chama alipokuwa ccm.Kaa na kichinjio chako sijui unataka kwenda kumchinja nani. Sisi tunatunza kadi zetu za kura trh 25 tunakwenda kupiga kura na kumkataa fisadi, ili asiingie ikulu.