ITV yaigwaya Policcm

Mpanzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
785
Reaction score
441
Televission ya ITV imeshindwa kutoa majibu ya kipimajoto cha jana juu ya udhaifu wa jeshi la polisi, inaonekana wamechimbwa biti na policcm!
 
Anayetoa hizo amri ni nani!!!! ndiye anayelipaka hilo Geshi la Polisi matope!!
 
duh! Kweli uonevu unaongezeka,mimi nangoja tu NTCL WA TZ,mbona tutawachomoa kwenye makalvati tu
 
magamba tu hao! hawana lolote....
 
Itv ni mammbwa hakika hii imekaa vibaya lakini Namshukuru Mungu sana kujua haya yote.Itv wamekuwa Wasaliti kwa watanzania,Naomba wawekwe kwenye kundi la Kikwete na Mafisadi watakaoondoka baada ya siku 100.
 
Wafungue kituo cha polisi pale Itv ili wajiakikishie usalama laa sivyo hatutakuwa tayari kuvumilia upuuzi wa vyombo vya habari Wasaliti wa haki za Watanzania kamwe.
 
imekaa vibaya hata nyinyi ninaye waamini kwa kunipa habari basi Tanzania Imekwisha
 
Wakuu mimi nilidhani mawazo yangu yamenielekeza huko kumbe watu wengine wameliona hilo?kweli wakuu hata mimi niliona wamjaribu kuficha ili watu wengi wasione jinsi maoni ya watu wanavyoliona jeshi la polisi,pamoja na yote ukweli utabaki pale pale kwamba POLICCM wanaonea sana siku hizi kwa kufuata maagizo ya CCM.hawa ITV nao wameshakuwa kambi moja na magamba
 
Mengi ni gamba loong time ago!
 
Wasaliti, wamejiunga na wenzao TBC. Who is next?
 
Televission ya ITV imeshindwa kutoa majibu ya kipimajoto cha jana juu ya udhaifu wa jeshi la polisi, inaonekana wamechimbwa biti na policcm!

Results zilikuwa very high kwa waliopinga udhalimu wa polisi. Uwt wakaamuru wasitangaze. Sasa hivi itv ni ITVCCM. Period
 
Magamba ya CCM yanatumia kila njia kuwakandamiza watu,yamejaza vibaraka JF.
 
Mi siku hizi taarifa ya habari napata star tv na kidogo chanel ten. Itv imeboa kuliko hata tbc1. Siku ukiiona itv inapambana na baazi ya mafisadi, ujue kwamba kuna tonge la kifisadi linagombaniwa kati ya Mengi na mafisadi wenzie.
.
 
Wakitangaza au wasitangaze ukweli utabakia vifuani mwa waliodhulumiwa.
If you are out to describe the truth, leave elegance to the tailor.
 
kipindi cha uchaguzi itv wanaonyeshaga vita vy rwanda na wakimbiza,huu mradi alianza tokea 95,hivi analipa kodi huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…