ITV wanaipendelea Yanga?

Timu ya kina Pondamali na Fid q sio??

sasa je...the most successful team in tanzania YOUNG AFRICAN

the best team in east africa...YOUNG AFRICAN

hao simba wakale karafuu tuu mpira wanaujulia wapi ndo mana hata itv hawakua na habari nao :biggrin1:
 
Tunakoelekea watanzania tutalazimika kuwa na ving'amuzi zaidi ya kimoja kama tunavyofanya kwenye line za simu. Unakuwa na king'amuzi cha ZUKU sijui kwa ajili ya kuangalia hizo taarifa za kitaifa na kimataifa, halafu ukifika wakati wa michezo unatafuta TV ambayo ipo fair kwenye hizo habari za michezo. Maana kwa ITV linapokuja suala la simba yaani huwa ni kama kuonyesha habari za adui wa taifa letu. Nadhani hii TV ina bifu binafsi za Simba.
 
Yaani Simba imeshinda Taifa lakini hawatangazi! Ikifungwa au kutoa Droo ndo wa kwanza kutangaza. Kwa Yanga mko Mbeeele @#x6F..... Zenu!

mnalalamika nini si mnae simba tv mkatangaze ukoooo
 
sasa je...the most successful team in tanzania YOUNG AFRICAN

the best team in east africa...YOUNG AFRICAN

hao simba wakale karafuu tuu mpira wanaujulia wapi ndo mana hata itv hawakua na habari nao :biggrin1:
unatumia takwimu za wapi labada kama kuna east africa nyingine
 
Nadhani humfahamu vizuri Gamba, Huyu ndiye mtangazaji mwenye mapenzi makubwa na Simba na wala hana upendeleo wowote ni mtu anayependa kazi yake,.haonyeshi ushabiki ktk utangazaji.
 
Nadhani humfahamu vizuri Gamba, Huyu ndiye mtangazaji mwenye mapenzi makubwa na Simba na wala hana upendeleo wowote ni mtu anayependa kazi yake,.haonyeshi ushabiki ktk utangazaji.

Kama ndiyo hivyo, chombo cha habari kisicho kupenda inabidi ukichukie. Shime wana Simba.
 
Ina kuuma eeeh;hamis bas au yambie magarasa yako suzuk;okwito na hakufa yaongeze juhudi
 
Nadhani humfahamu vizuri Gamba, Huyu ndiye mtangazaji mwenye mapenzi makubwa na Simba na wala hana upendeleo wowote ni mtu anayependa kazi yake,.haonyeshi ushabiki ktk utangazaji.
Labda wamtaje KITENGE nitawaelewa!
 
Gamba X 7.....atakuwa CCM tu huyu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…