ITV wana agenda ya siri dhidi ya CHADEMA??

Nimeona hiyo,ila picha ya ccm ni ile ya uzinduzi

uzinduzi mkutano upi ?mimi nimerekodi taarifa zote ni picha tofauti kabisa huo unaleta bni ushabiki na labda kutoelewa,kuna mkutano kama sikosie ulikuwa wa mbuguni mpiga picha wa itv alizungusha kamera kutoka kwa wazungumzaji kwenye lori mpaka katika umati wa watu tofauti ni kwamba siku ya uzinduzi wazungumzaji waliongelea jukwaani na umati mkubwa ulivaa nguo za kijani lakini katika mikutano hiyo wasikilizaji wanamchanganyiko lakini ukitaka kujua umati wa watu lazima upige picha kwa upana lakini ukweli ni kwamba cdm ndiyo wanaotumia picha za uzinduzi na zingine za zamani tuendelee kufuatilia tutabaini tu
 
Mjadala uanzie hapa, big up sana kiongozi.

Ushabiki wa ITV nmeushtukia toka mwanzo, ni kuwatema kama tulivyowatema TBC na Channel ten!

kaka angalau itv kidogoo wanatuonyesha...KALI ZAIDI NI HAO TBC.TANGU KAMPENI ZIANZE SIJAONA TAARIFA ZA KAMPENI ZA CDM.or me nina bahati mbaya wakilusha cku hiyo ninakuwa sijaangalia habari. kwani tbc ni ccm?
 
Kumsema mzee mengi wakati mwingine ni kumwonea tu tatizo lipo kwa waandishi wao wasiofuata maadili na wameendekeza njaa kwa mfano aliyepo kwenye msafara wa kampeni za CCm ni Makunga huyo aliwahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha 200-2007 sasa unatarajia atafanya coverage fair?na bado hapo hapo anataka kuhalilisha mshiko wa 40,000 kwa siku wanaolipwa waandishi wanaondamana na msafara wa SIOI! waandishi wa tz bure kabisa wanatumia masababuri kufikiri!

mimi nadhani kumshambulia makunga mtakuwa hamtendei haki kwa sababu kama tatu navyofahamu wamepangwa na mabosi wao wao yaani itv kwa makunga kufanya na ccm na ufoo kwa chadema tatizo nalolioni ni kwa ufoo kama habari ni dakika tatu na kapeleka picha wahudhuriaji second 30 itv wafanye nini ? hapo mnamlaumu makunga ? pili suala la kuwa ccm siyo issue mbona dk slaa aligombea ubunge kwa ccm mwaka 1995 je naye hakuwa ccm ? lakini tatu ili habari ipite ina mtiririko mrefu wa wahariri kupitisha hivi washindwe kujua hivi picha ni za uzinduzi ? kuna utaratibu kama unatumia picha za zamani ni lazima kuandika picha kutoka maktaba.Na mwisho kwa picha za mnato mikutano ya ccm ipo vipi hii picha imetoka katika blogg ya michuzi

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/236092-magamba-wakata-mbuga-arumeru-leo-picha.html
 
Mnapoteza muda wenu pale ITV mzee Mengi ndio anaetoa muongozo! Mengi ni oppurtunist tu ingawa wengi hampendi ukweli huu! Malengo yake ndio yanamuongoza not nyingi wananchi!
You are 100% true, thank you
 
Back
Top Bottom