Itv wame edit picha -kigoma

scatter

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,667
925
Ndugu mimi ni mfuasia wa maendeleo katika nchi yetu na tena na msimamo mkali katika chama chetu cha chadema
sikatai mkuu slaa kufanya mikutano sehemu mbalimbali nchini na hasa kigoma na sehemu zingine nchini..

Nimeangalia taarifa ya habari ya itv na nimegundua yafuatayo

1. Watu walikuepo mkutano kwa ajili ya kumsikiliza slaa lakini sio wengi kama ilivyoripotiwa

2. Mhariri ame edit picha za watu na kuzifanya zionekane kuna watu wengi kwa kuzoom picha kiasi utadhani upo mjini vile
3. Picha halisi ni zile wakati mabomu yanapigwa na watu kukimbia utaona kutoka mkutanoni watu wachache tu ndio waliokuwa wanakimbia mabomu ya machozi why?

Tuache unafiki na mimi sio mnafiki
 
kakojoe ukalale
 
kalale au leo hujapata buku 7!
 
kwa kawaida picha zote zahabari hueditiwa, pia mabomu yalukuea hatawanyi mkutano, bali 'wale vijana wachache'
 
Ni kwaida ya wana ccm kukana hata picha za mnato/picha za video na hata sauti zao ,tunaushukuru uongozi wa Itv.Siku zote uongo hujitenga na ukweli nnaona ccm mlijiandaa sana kupotosha.
 
ITV na Nipashe siku hizi wamekuwa wafuasi wa mmachame mwenzao sio wa kuangalia kabisa hasa katika suala hili la Zitto,.
 
kwa hiyo imekuuma sana au, kesho jifanye mwandishi wa habari na utoa taarifa yako isikuwa na editing,
watu wengine bwana!!!!!!!!!!!
 
Ni kwaida ya wana ccm kukana hata picha za mnato/picha za video na hata sauti zao ,tunaushukuru uongozi wa Itv.Siku zote uongo hujitenga na ukweli nnaona ccm mlijiandaa sana kupotosha.

Zile picha za Lema mbona mlikuwa wa kwanza kusema zimeeditiwa au kweli jamaa ali duu!!
 
kwa kawaida picha zote zahabari hueditiwa, pia mabomu yalukuea hatawanyi mkutano, bali 'wale vijana wachache'

je umeonda jinsi ya mabomu yalivyokuwa yakipigwa katika kuahirisha mkutano
je umeona idadi ya watu waliotawanywa kwajili ya kufunga mkutano?
 
ITV na Nipashe siku hizi wamekuwa wafuasi wa mmachame mwenzao sio wa kuangalia kabisa hasa katika suala hili la Zitto,.

Zitto kaingiaje hapa?,wafuasi wake mtahangaika sana kushindana na makusudio ya Mungu lakini hamtaweza.
 
Umejisadia ulipokuja kupost?
 
Kilichoandikwa na mtoa habari ni tofauti kabisa na tulichokishuhudia na kukiona ktk Itv,pana jengine?

wale watu kwa kuangalia tu ni zaidi ya wangapi?

Picha mnato za mabomu zimeonyesha watu wangapi?
 
inakusaidia nini wewe?hayo malamiko yako yataondoa mgao wa umeme?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…